Uyu ndie tunamtaka 2015

uyu ndio anaweza chukua hii tanzagiza 2015,nishafafanua
Mimi ninafikiri huyu hapa kwa upande wa hiyo SI SI EMU YENU NDIO HUYU HAPA NA KIPANYA WAKE


kipanya_18_-_03_-_2012_20120320_1357217378.jpg
 
namtaka mi na wewe,kubali au ukatae,mgombea atakaopitishwa na CCM ndio President 2015

Jamani, hii GT forum inahitaji ifanyiwe screening kuna watu wengine mawazo yao hayakidhi haja ja GT. Kwa mtu wenye uwezo wa kufanya analysis nilitegemea angekuja na figures and facts za huyu mgombea anayetaka tumkubali wote badala yake anakuja na ubabe "kabali au ukatae" kiswahili chenyewe cha chekechea!! Mi siwataki hawa watu humu GT forum.
 
kama anafaa sio vizuri kusemea mioyo ya watu. yeye akachukue fomu halafu achambuliwe hadhalani. lazima tuajue mazuri namafanikio yake katika jamii kwanza.
 
Kauwa kweli maana ni wachache wanaweza na anaonyesha ni mama wa mazoezi
 
Acha mawazo ya kijima kama una akili timamu chunguza kwanza kaifanyia nini bongo au unababaika na huo UN uko dunia gani ndugu yangu watu wanataka mabadiliko [WE LIKE CHANGES]
 
SAFARII HII, HATUDANGANYIKI NA SURAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Tumechoka na MAGAMBA na UFISADI wao!!!! Huu wote ni mtandaooooooo!
 
I agree with u simply because of the majority of Tanzanian voters especially in rural areas are low information voters. All they know is CCM
 
Hahahahahahah,

Watanzania tuna matatizo sana....Mie nilidhani tutaanza kumuuliza sababu za Ban Ki- Moon kumtema kwenye timu yake mpya yenye watu wanaodeliver!!

Kwani yeye alikuwa ana-consume bila ku-deliver hadi akaonekana kiroba cha misumali??
 
Back
Top Bottom