UWONGO MKUBWA KUTOKA AFRIKA" best leader"

Is Mandela best leader out of Africa


  • Total voters
    2

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Nachotaka kusema najua watu wengi hawajawahi kufikiria, lakini huu uwongo umekuwa unanikera sana moyoni. Nimetembealea nchi kazaa za mangaribi na kila kona nikikatiza watu kotoka mabara yote ya duniani nikikutana nao kwa maongezi wanaishiaga kumtaja Mzee fulaani ndio best leader from africa… Sasa nakuuliza Mdau Wewe wafikiria ni nani huyu best leader. Mchague kiongozi mmoja bora katika Afrika kutoka miaka enzi hizo mpaka leo kabla hujaendelea kusoma. Hoja yangu ni hii kila mtu kotoka mabara tofauti duniani hii nikikutana naye huniambia Nelson Mandela is the best leader dunia nzima from Afrika Jamaniiii….

Simpondii Mzee Mandela yeye ni kiongozi bora na alipigania uhuru nchi yake alivyoweza BUT, LAKINI HIWAJE MTU AWE AMEFUNGWA MIAKA 27 JELA NDO AWE BEST FROM AFRICA. Wakati huo tulikua na our best, finest and brave leaders kama Mwalimu Nyerere fighting for Africa liberation for all africans kila kona ya africa hii na history books hazionyeshi kumbukumbu zozote zaidi ya vitabu vichache bongo and word of mouth. Jamani hata kwa Mtandao "internet"I refuse this lie Mandela is the best out of africa, sorry for south africans but that is insulting to us africans its a lie.

Wezangu tulifight brave na siyo kwamba tulikamatwa tukaweka jela before we did put intelligence fight. Huu ni wakati wetu tubadilishe history books. Na tusiendelee kukubali huu uongo. How can Mzee Mandela be the best African leader and did nothing for 27years for you and me. Not to insult Mzee Mandela But there were others risked a lot, and their ingenious work made us free from colonisation and are not given credit its time for their efforts to be put into history books.

Kitu kingine kinachonishangaza ni kwamba Mzee Mandela took the title and run away with it as the holy of holy from Afrika and never mention the chief corn stones who fought for Africa at his speaches. Probably he doesnt know the proper history, not to be blunt viongozi wengine kama Mwalimu Nyerere walikua na many personal conections with other wazalendo wa bara la Afrika kutoa mifano yao na stori zao kila wakitoa hotuba. Kwa leo naishia hapo….

Shukrani kwa wote.
 
Back
Top Bottom