Uwepo wa Atheists unathibitisha uwepo wa Mungu kuliko unavyoweza kufikiri

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,127
Kwenye Biblia Takatifu na Qur'aan Tukufu, imeandikwa kwamba

" Mwenyezi Mungu anaweza kufanya kila kitu ".

Atheist ni watu wanao dai kwamba Mungu hayupo.

Je Mwenyezi Mungu anaweza kuumba watu na kuwaondoloea ufahamu wa ku appreciate kwamba yeye Mungu yupo?

Jibu ni NDIO? Kwanini? Kwa sababu Mungu anaweza kufanya kila kitu..

Kwa hivyo basi, uwepo wa Atheists unamtukuza zaidi Mungu kuliko Atheists wanavyo weza kufikiria...

Ikumbukwe kuwa Mwenyezi Mungu ameumba pia wanadamu ambao amewaondolea roho ya uoga. These are the kind of people who do not appreciate the danger of any kind of a dangerous thing that they are facing.

One of those people was His Majesty King David, the King Of the United Kingdom of Israel and Judah...

# the problem of Atheism has officially solved.
 
"One of those people was His Majesty King David, the King Of the United Kingdom of Israel and Judah".

extremely hilarious. Palestinians didn't exist as little as 1967. Even the Alaqsa Mosques was built on top Solomon's temple when the Muslimsinvadesd in . just like most people shouting "free Palestinians", they have been intentionally ignorant. Can you imagine, Jerusalem, the capital of Israel for over 4000 years. Well recorded history, yet some normads emerged from no where to claim that Jerusalem is theirs and they believed that!!
 
Binafsi sipingi uwepo wa Mungu kiujumla. Naelewa chanzo cha ulimwengu hakifahamiki bado, labda kuna nguvu ya ajabu iliumba ulimwengu, ninachopinga ni uwepo wa miungu hii ya kibinadamu(Yahweh, Allah, Vishnu nk).

Hoja yako haina mantiki kwasababu, tunavyojua Mungu anataka kila mtu amuabudu, ndo maana kaweka adhabu ya kuchomwa, ila alazimishe watu kumuabudu, sasa kama kuna watu anawaondolea ile imani, ina maana kuna watu anawaumba makusudi ili awachome.

Hizi contradictions tumeziona kitambo sisi.
 
Hizo Biblia na Quaran zina contradictions nyingi sana zinazoonedha ni hadithi za uongo za kutungwa na watu tu.

Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Huyo Mungu ukimuweka katika mizani ya kawaida tu ya mantiki inaonekana kuwa hayupo.

Wewe mpaka sasa unahubiri dini kwa imani bila fact wala proof, unaleta hisia na imani zaidi ya fact.
 
Kuna watu wana uwezo mkubwa wa kuharisha maneno yasiyo mpango kwa kasi kubwa kuliko wanavyoweza kujifunza ukweli na kuangalia mantiki.

Mtu anakwambia Mungu yupo na kaumba watu wasiomuamini. Ndiyo maana kuna watu hawamuamini.

Ukimwambia athibitishe huyo Mungu yupo, hawezi.

Ukimwambia atatue contradictions zilizopo katika hoja ya kuwapo huyo Mungu, hawezi.

Mtoa mada ni mzoefu katika idara ya kuhara maneno yasiyo mpango wala mantiki.

It is rather boring and quite unworthy of my time.
 
Nitajie contradiction 3 kwenye Qur'aan Tukufu nikuthibitishie uwepo wa Mungu
 
Kuna watu wana uwezo mkubwa wa kuharisha maneno yasiyo mpango kwa kasi kubwa kuliko wanavyoweza kujifunza ukweli na kuangalia mantiki.

Mtu anakwambia Mungu yupo na kaumba watu wasiomuamini. Ndiyo maana kuna watu hawamuamini.

Ukimwambia athibitishe huyo Mungu yupo, hawezi.

Ukimwambia atatue contradictions zilizopo katika hoja ya kuwapo huyo Mungu, hawezi.

Mtoa mada ni mzoefu katika idara ya kuhara maneno yasiyo mpango wala mantiki.

It is rather boring and quite unworthy of my time.

Mkuu hakuna contradiction yoyote kuhusu uwepo wa Mungu narudia tena hakuna.
 
He who alleges must proof. Wewe ndo umesema kwamba kuna hizo contradictions so the burden of proof lies on u
Wewe umesema hakuna contradiction, kabla hata sijazitaja.

Unawezaje kujua kwamba contradiction hazipo, kabla hata sijazitaja?

Dai lako linatokana na nini?

Unathibitisha vipi hakuna contradiction?

Contradiction ni nini kwanza?

Nisije kujisumbua kukuletea contradiction hapa, wakati hata hujui contradiction ni nini.
 
Contradiction is :
1. A combination of statements, ideas of features which are opposed to one other.

2. A situation in which inconsistent elements are present.

3. The statement of a position which is opposite to one already made..

Haya sasa twende kazi
 
"One of those people was His Majesty King David, the King Of the United Kingdom of Israel and Judah".

extremely hilarious. Palestinians didn't exist as little as 1967. Even the Alaqsa Mosques was built on top Solomon's temple when the Muslimsinvadesd in . just like most people shouting "free Palestinians", they have been intentionally ignorant. Can you imagine, Jerusalem, the capital of Israel for over 4000 years. Well recorded history, yet some normads emerged from no where to claim that Jerusalem is theirs and they believed that!!
Nawewe sasa mkataba wa 1947 ulikuwa wa nini kama unasema palestine haikuwepo?
 
Back
Top Bottom