Uwekezaji huku kila mwenye mamlaka ana sharubu

Motowntzjpm

Senior Member
Jun 16, 2023
118
191
Mhe Chongolo aliongoza msururu wa mikutano ya kutetea uwekezaji Bandarini. Kwenye vikao hivyo waziri mwenye dhamana alirudia kutoka Iringa hadi Tanga - Mwekezaji akikosea tutamfurusha /tutamfukuza mchana kweupe.

Wafuasi wa chama walishangiliaje.

Huko nyuma na hivi karibuni hali ni ile ile. Hamna anayezungumzia usuluhishi baina ya Mwekezaji awe wa nje au ndani na Jamhuri na watu wake. Sielewei nafasi ya mahakama zetu kwenye upatikanaji haki

Hatujiulizi -iweje kwenye kuingia kwenye mikataba tunaita vyombo vya habari lakini hatuheshimu mikataba maana tunayehishimuje ikiwa tunatangulia kuhukumu kwa kauli kama ya Mkumbo

Mkuu wa Mkoa, Waziri, DISII wote wanaweka ndani contractors je kipengele ipi kinaruhusu kugeuza kesi za madai kuwa jinai? Je, kuendelea kuhimiza uzalendo bila kuhimiza ufanisi tumekadiria athari zake?

Wadau tusaidiane kutafakari
 
Ni kwamba sote tumereridhika na Kila mwenye dhamana kuwa na mahakama ya kuhukumu au maana sioni michango ya wajuba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom