Uwekezaji au Utumwa?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=3][/h]

Pichani mwekezaji wa kichina nchini Zambia akifaidi matunda ya utumwa
 
Umekosea, watumwa walikuwa hawalipwi ila huyo jamaa lazima atakuwa analipwa, na chochote chenye malipo ni kazi as long as havunji sheria na wala hamchukizi mungu, kwahiyo huyo jamaa yupo kazini, sio utumwa.

wabongo tunachagua sana kazi, especially wa Dar es salaam, ndio mwisho wake wanaishia kuwa serengeti boys
 
Kila mtu ana kazi yake brother hakuna utumwa hapo na achana na haya mawazo duni. Huyu mchina kasimama kwenye matope - yuko kazini hapo hayuko pikiniki . Angalia nyumba walizo zimwaga hapo - hiyo yote ni chapa kazi.
 
Booker T. Washington, a Black educator said,
There is a class of colored people who make a business of keeping troubles, wrongs, and hardships of the Negro race before the public. Some of these people do not want the Negro to lose his grievances, because they do not want to lose their jobs.

More importantly, we all now suffer a more insidious slavery.
[FONT=arial, sans-serif][/FONT]
 
Neo slavery vs. classical slavery!!!!!
 
Picha hii sambamba na ya juu ni mtawala wa Uganda Yoweri Museveni akifaidi uwekezaji katika siasa. Huyu ni mmojawapo wa wawezeshaji wawekezaji kuja kuchukua na kutumikisha waswahili.Rejea mauaji na vurugu zilizotokea Uganda M7 alipogawa msitu wa Mabira kwa wahindi wake.

kwani M7 ni muwekezaji..
 
Back
Top Bottom