Uwazi kwenye mapenzi

mashizo

Member
Feb 24, 2009
43
32
habari zenu wanajf
hivi kwa nini wanaume na wanawake tunakuwa wahongo kwenye mahusiano japo sio wote ila wengi wetu.
kama tungekuwa wawazi kwenye mahusiano yetu nadhani hii dunia ingekuwa kama peponi vile,ila watu uhongo uhongo tu kila kukicha

wewe kama una mume/mke/mpenzi kwanini udanganye watu wengine,kama vile huyo uliyenaye hakutosheleza si bora umwambie tu nae ataelewa ili aendelee na maisha yake.

wahongo siku zote mwisho wa siku uishia kuumbuka na kuwa guilty na kujilaumu kutokana na makosa waliyoyafanya.so tujaribu kuwa wawazi ili tuwe na furaha ya milele.mfungo mwema

naamini kwenye hilo neno ulimaanisha waongo na sio wahongo

sijui kwa nini nikisoma hiyo 'uhongo' pumzi inaniishia

kwani uongo unakujaje?

mkiwa wawili ni bora kuambiana ukweli, ila ukitoka nje lazima umsifie mwenzio kulinda heshima ya ndoa yenu coz nyie ni mwili mmoja. Ila sio lazima kusema ukweli kwa kila kitu.......... ni bora kukaa kimya kuliko kusema uongo au ukweli utakao muumiza na kumfedhehesha mwenzio... halooo!

na hao wanaosema mambo yanayofanyika kwenye kuta nne za chumba wanacholala ni wafedhuli mnaana mambo ya mle yanatakiw ayaishile mle na yasitoke nje ya zile kuta nne. Hao ndio unawakuta wamekaa na mashoga zao wanawasema waume zao wakati hayo mlitakiw amyamalize ndani ya vyumba vyenu na mtu wa nje asijue

sijui kwa nini nikisoma hiyo 'uhongo' pumzi inaniishia

Tatizo unatumia nguvu nyingi ukifika kwenye uhongo,...i can imagine taabu na mateso uliyo yapata mpaka ulipomaliza kusoma hii post,..maake 'uhongo' zimejaa kwenye thread.......pole sana sister

Hakuna ukweli, mwanaume yuko ofisini ana hawara wawili hapo ofisini, mke wake yuko jengeni ana hawara mmoja hapo mtaani, je jioni wataelezana ukweli wa siku nzima ya leo zaidi ya kusema foleni zimezidi mke/mume wangu na kulala mzungu wa nne.

Ivi ni kwanini na wewe unasema wahongo unapomaanisha waongo? au hujui kusema wahongo na waongo ni maneno mawili yasiyo na uhusiano japo yanakaribia kufanana?

yap,mwanaume lazma uweke 'uhongo uhongo' meen! Ili kung'arisha 'uhongo' muhmu meen. . !

habari zenu wanajf
hivi kwa nini wanaume na wanawake tunakuwa wahongo kwenye mahusiano japo sio wote ila wengi wetu.
kama tungekuwa wawazi kwenye mahusiano yetu nadhani hii dunia ingekuwa kama peponi vile,ila watu uhongo uhongo tu kila kukicha

wewe kama una mume/mke/mpenzi kwanini udanganye watu wengine,kama vile huyo uliyenaye hakutosheleza si bora umwambie tu nae ataelewa ili aendelee na maisha yake.

wahongo siku zote mwisho wa siku uishia kuumbuka na kuwa guilty na kujilaumu kutokana na makosa waliyoyafanya.so tujaribu kuwa wawazi ili tuwe na furaha ya milele.mfungo mwema

Naamini "uhongo" ni "Uongo" :)

Kusema Uongo ni kishawishi katika mahusiano kinachotokana na "ubinafsi" na kujiwekea malengo na mategemeo ya juu katika mahusiano.

Kama wewe sio mbinafsi na umeweka mategemeo ya wastani katika mahusiano..basi hutapata kishawishi cha kusema uongo. Yaani utasema ukweli daima na utakuwa tayari kwa lolote hata kukosa penzi na kuvunja uhusiano kama ukweli wako hautokubalika.

habari zenu wanajf

hivi kwa nini wanaume na wanawake tunakuwa wahongo kwenye mahusiano japo sio wote ila wengi wetu.

kama tungekuwa wawazi kwenye mahusiano yetu nadhani hii dunia ingekuwa kama peponi vile,ila watu uhongo uhongo tu kila kukicha

wewe kama una mume/mke/mpenzi kwanini udanganye watu wengine,kama vile huyo uliyenaye hakutosheleza si bora umwambie tu nae ataelewa ili aendelee na maisha yake.

wahongo siku zote mwisho wa siku uishia kuumbuka na kuwa guilty na kujilaumu kutokana na makosa waliyoyafanya.so tujaribu kuwa wawazi ili tuwe na furaha ya milele.mfungo mwema

uongo mara nyingine husaidia kufanya mambo kwenda kwenye uhusiano' ukiwa mkweli kupitiliza napo mambo hayatanyooka vilevile

Huhongo sio mzuri kabisa.....
Ni vizuri kusema hukweli kila mara......mahisha ni kusahidihana....msidanganyane.

Back
Top Bottom