Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Mwisho wetu sijui utakuwaje, maana naona kila mahali ni wizi, uporaji na ubadhirifu.
Haingii akilini uwanja ujengwe kwa Tsh. 60 Bill na miaka michache baadaye kuukarabati ugharimu nusu ya gharama za kuujenga!
Cha kujiuliza, ni nini haswa kitafanyika kwenye uwanja huo hata kumeza Tshs 30 Bill?
Sisi tunaona wenzetu kila mahali sasa ni fursa ya kuiba na kupora, na ndiyo maana kila siku wanabuni kodi mpya au kuongeza zile zilizopo ili kuuruzuku ufisadi wao.