SoC03 Uwajibikaji na mabadiliko ya malezi

Stories of Change - 2023 Competition

Chalala04

New Member
Jun 24, 2023
4
4
Wazazi wa kitanzania hawajibiki kwenye malezi ya watoto ambao sio wa kwake mfano: mtoto anaweza kuwa anafanya kosa aisha wanapigana na kuna watu wazima wanawaona na wasiwajaripie kwa kua sio watoto wao.

Huu sio uwajibikaji kwenye malezi Kila mwana jamii natakiwa kuhusika moja kwa moja kwenye malezi ya jamii ili kutengeneza Tanzania yenye maadili pia ili kujenga uwajibikaji kuandaliwe vitabu mbali mbali venye muongozo wa malezi kwa watoto ili Tanzania nzima tuwe na namna moja ya malezi hii itasaidia kujenga jamii yenye malezi sawa.

Hivyo wadau mbali mbali we ye uelewa mpana juu ya malezi wa natakiwa kua saa vitabu na kusambaza kutengeza jamii yenye malezi bora na Kila mzazi natakiwa kuwajibika na kuhakikisha jamii yake anailea kama mtaala unavyotaka.

Pia wanapofika umri wa kupata elimu inapaswa Kila shule iwe na muongozo namna ya malezi ili pasiwe na tofauti Kati ya nyumbani na shuleni.

Kila mmoja akiwajibika tutatengeneza taifa lenye NIDHAMU na maadili sawa kutokana na malezi yanayoendana.

Pia ili kutengeneza uwajibikaji zaidi Kila mtoto natakiwa kupimwa maadili yake kila mwisho wa mwaka kwa mfano kwa kuwauliza MASWALI tofauti tofauti na mtoto ambayo maadili yake yatakuwa chini ya asilimia hamsin basi mzazi atawajibika kwa kutozwa aisha faini au kulipia Ada shule maalumu zitazofundisha zaidi maadili mzuri.

Mfano ya MASWALI unalala saa ngap, unaamka saa ngap, n. K
 
Back
Top Bottom