Uvutaji wa sigara na unywaji pombe unapunguza nguvu za kiume?

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF,
Hivi ni kweli uvutaji sigara na unywaji pombe ni kweli zinapunguza nguvu za kiume! Kama kuna uhusiano wowote wa hivi vitu mwenye taaluma naomba anijuze na kwa faida ya wengine.
Nadhani wengi wanatumia hivyo vitu viwili tuwe na subira kutoka kwa wataalumu wetu
 
lakini kuna pombe nyingine inasemekana zinaongeza....sijui ni kweli, tuwasubiri wataalamu.
 
ndugu yangu katika magonjwa makubwa makubwa yoooote, mbali na kusababishwa na mambo mengine, pombe kwa sana na sigara kwa sana huwa hazikosi. so, unywaji pombe na uvutaji kupita kiasi ndo msala na pia effect yake ipo mbele inaweza kuchukua 10-15 years ukaanza kupata matatizo.
msosi, zoezi na akili iliyotulia/saikolojiando silaha ya nguvu za kiume.
my view
 
lakini kuna pombe nyingine inasemekana zinaongeza....sijui ni kweli, tuwasubiri wataalamu.

Yaaa! ni kweli. Mfano mimi nikinywa bia huwa zinashuka chini. Bwanaeeee baada ya hapo mtiti wake hunambii kitu.
 
Back
Top Bottom