UVCCM: CCM itamke Dowans kuwa ni kampuni hewa.

Baba Tina

Senior Member
Dec 22, 2010
131
2
Umoja wa vijana wa ccm mkoa wa mara umekitaka chama hicho kuitangaza kampuni ya dowans kua ni kampuni hewa kwa sababu kitendo cha ccm kukaa kimya kunazidi kukiweka chama hicho mahali pabaya na kukidhoofisha. SOURCE: ITV NEWS
 
Umoja wa vijana wa ccm mkoa wa mara umekitaka chama cha mapinduzi kuitamka kampuni ya dowans kua ni kampuni hewa kwa kua ilirithi mikoba ya kampuni hewa. Aidha umoja huo umesema kitendo cha ccm kukaa kimya kunakidhoofisha chama na vijana hao wasingependa ccm ife mikononi mwao.
 
Kuna mikoa inanigusa sana, Arusha, Mwanza, Mbeya, Kagera,Kigoma,Mara, Kilimanjaro(sio mwanga au Same). Mikoa hii ina mwamko mzuri sana wa kitaifa na haitabiriki kiurahisi.
 
Umoja wa vijana wa ccm mkoa wa mara umekitaka chama hicho kuitangaza kampuni ya dowans kua ni kampuni hewa kwa sababu kitendo cha ccm kukaa kimya kunazidi kukiweka chama hicho mahali pabaya na kukidhoofisha. SOURCE: ITV NEWS

Hii ni changamoto kubwa kwa CCM na Serikali yake. Kwa kifupi CCM haiwezi kutoa hilo tamko kwa kuwa Kiongozi mkuu wa Serikali ndio mwenyekiti wa CCM Taifa, sasa atatoaje tamko linalompinga mwenyewe.
 
Back
Top Bottom