Uuzaji wa vyeti vya ukaguzi wa magari TBS, UK, usimamishwe!

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Waziri kafukuzwa, mkurugenzi nje, sasa hawa mafundi bomba wanaouza vyeti kwa nini wanaachiwa waendelee na hii biashara ya vyeti vya TBS wakati hata mkataba wao umeisha?
 
NAKUUNGA MKONO HAKUNA KUIPA KAMPUNI YOYOTE INAYOONGOZWA NA MTANZANIA KWANI WOTE NI MATAPELI,HASA HAWA SERENGETI TAARIFA ZA KIINTELIJISIA ZINASEMA SERENGETI CHINI YA CHRIS LUKOSI NI WAUZA UNGA.:embarassed2:
 
CHRIS LUKOSI WACHA UTOTO UNAJIFANYA KUTUMIA JINA LA CHILISOSI WAKATI NI WEWE MWENYEWE LUKOSI,POLE SANA ENDELEZA BIASHARA YAKO YA UNGA UR THE NEXT:lol:
 
Na mwenzake aliwahi kupasukiwa na unga ugiriki miaka ya 2004.
Akafungwa ugiriki kisha alisamehewa kwa ajili ya mshono mkubwa aliopata tumboni akudishwa Uk.
Ana uraia wa uk,katokea pemba.
Inadaiwa magari na mizigo wanayo safirisha wana beba unga humo.
 
Ekelege chali , bado hawa vibaraka wake wanaouza vyeti nao watafuata, hao wapapambe wanaotukana huku huwa siwasikilizi najua wanalilia bia za bure tu hao ukikutana nao bar wanakuganda kama nzi
 
I've always suspected hawa watu. Miaka miwili iliyopita nilikwenda kununua gari London. Katika mpango wa kusafirisha lile gari kuja Bongo ndugu zangu wakaniambia kamwe usiwatumie hao jamaa wa Serengeti kwani wao ni dizani flani. Baada ya hapo kila mmoja aliyekuwa pale akatoa yake ya moyoni dhidi ya hawa jamaa. Anyways, time will tell maana chenye mwanzo huwa na mwisho.
 
Aaaah! Eti eeeh.
 
CHRIS LUKOSI WACHA UTOTO UNAJIFANYA KUTUMIA JINA LA CHILISOSI WAKATI NI WEWE MWENYEWE LUKOSI,POLE SANA ENDELEZA BIASHARA YAKO YA UNGA UR THE NEXT:lol:

sema mpambe,
vipi bado unaendelea kutuma email zako za kijinga??? nime zispam kwa hiyo huwa sizisomi. wewe unajijua ni failure in business and life kwa hiyo waache wanaume wapambane. usihofu kuhusu bia utakuwa unakunywa tu kama kawa si unanijua kuwa mie sio bahili wa kununua.
UKIONA MTU MZIMA UNAANZA KUWA MPAMBE WA KIJANA ULIYEMNZIDI UMRI KARIBU MIAKA KUMI UJUE HIYO NI DALILI MBAYA. ina maana umefeli kimaisha na hope yako iliyobaki ni kuwa mpambe wa wilson
 
WE GOT YOU WILSON KAINGIAJE HUMU MIE NILIKUONA UNAVYOONESHA PESA BAA YA WAKENYA KUWA WEWE NI TAJIRI WA WATANZANIA LONDON WEWE NI TAJIRI WA MASKINI WA EAST LONDON UNAWAJUWA WATZ WANGAPI MPAKA UJITAPE NDANI YA BAA NI USHAMBA NA UPUUZI WAKO NDO UNAKUPONZA.WAUZA UNGA NI WENGI LAKINI HAWAPIGI KELELE KAMA WEWE:der:
 
Back
Top Bottom