Uume kutoa ute mweupe

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Wakuu Naomba msaada. Nikienda kukojoa nakuta kuna ute mweupe Kwenye kichwa cha uume. Ila nikikojoa natoa mkojo wa kawaida na sina maumivu yoyote. Ni kitu gani hiki?
 
hizo ni maji maji kwa ajili ya shahawa kupita hiyo hutokea mara moja moja pindi unapokuwa unawaza ngono.inaonyesha ndiyo unaanza kukuwa..
 
naona kiswahili kinanitatiza hapa...............

hayo maji umesema ni "meupe'??.................... i mean kama povu la sabuni???.................. au ni maangavu??? .................i mean transparent??.....................

kama ni meupe, kimbia hospital mapema................ kama ni maangavu na yanatoka ukiwa katika erection .......................or soon thereafter............., its normal and a sign of potency.................. so watch out usichezee gridi ya taifa bila kingazzz......................
 
Wacha kuangalia blue flicks. Halafu fanya juhudi upunguze mbegu hizo. Tumia tahadhari.
 
Back
Top Bottom