MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,114
- 3,768
Uchaguzi mkuu nchini Uturuki utarudiwa mwezi may 28 kati ya kiongozi wa vyama vya upinzani KEMAL na Rais Erdogan.
Katika round ya kwanza, Erdogan amepata 49.3% ya kura zote huku muungano wa Vyama vya upinzani ukipata 45.6% huku kiongozi wa chama kidogo cha upinzani akipata 5.1%.
Mshindi wa tatu ameapa kuungana na Upinzani ili kumshinda Erdogan. Endapo mshindi wa 3 na wa 2 wa vyama vya upinzani wataungana basi Utawala wa Erdogan utakuwa umefikia kikomo.
Recep Tayyip Erdogan remains locked in a tight race against his chief challenger Kemal Kilicdaroglu. Turkey run-off likely as final vote counts show Erdogan leading