Utumiaji wa miwani

mr.sylvestre

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
252
298
Wana JF ningependa kujua kuhusu madhara yatokanayo na uvaaji wa miwani kwani nimekuwa nikisikia kuwa kuna madhara,na kama yapo madhara yatokanayo na uvaaji wa miwani(miwani ya macho) kuna njia ipi mbadala itakayo mfanya huyu mgonjwa wa macho apate nafuu bila msaada wa miwani
NOTE:Niandikaye hapa ni mmoja wa watumiaji wa hii miwani ingawa athari sijaziona mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom