Elections 2010 Utulivu wakati wa kupiga kura

Chumvi1

Senior Member
Oct 10, 2010
137
8
Jamani hakuna uchaguzi ulio makini kama wa leo.nec walijiandaa vizuri utaratibu wa kupiga kura nimeukubali hata asiyejua kusoma na kuandika atapiga kura yake maana vijana wa kuelekeza wanajua kazi yao.
Kilichonifurahisha pia jamani watu wamejitokeza wengi sana hasa vijana nao wameamua maana ni wengi katika kituo chetu cha mbagala kuu mpaka raha nikasema time for change has come.
Tusubiri matokeo tuu big up nec
 
Back
Top Bottom