Utohozi wa Neno Kujamiiana.........

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Wakuu

Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)
 
Wakuu

Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)[/QUOTE]

Watu watakushangaa sasa ukilitumia neno hilo kwa maana halisi ya zamani. Watu walikwishaligeuza maana.
 
Wakuu

Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)

Unaposema maana halisi unarejelea wapi, na ni nani anafanya maana moja kuwa halisi na nyingine kutokuwa halisi.
 
maana ipi sasa inatumika ku-socialize?
ku-socialize kwa kiswahili ni kujichanganya, kujumuika, nk. Kujamiiana limetafsiriwa kutoka kwenye "sexual intercourse". Na kwa kweli kitendo hicho ni sawa kabisa kiitwe "kujamiiana" yaani kuungana kimapenzi, kufanya ngono, kuunganisha via vya uzazi. Ndo intercourse yenyewe hiyo, au?
 
Babuyao,

Naona kama alivyosema Mphamvu hapo juu how halisi is halisi ni debatable, kwa hiyo inawezekana kabisa ukawa sahihi
ku-socialize kwa kiswahili ni kujichanganya, kujumuika, nk. Kujamiiana limetafsiriwa kutoka kwenye "sexual intercourse". Na kwa kweli kitendo hicho ni sawa kabisa kiitwe "kujamiiana" yaani kuungana kimapenzi, kufanya ngono, kuunganisha via vya uzazi. Ndo intercourse yenyewe hiyo, au?
 
Pia neno 'tongoza, kutongoza', watumiaji wameamua, deliberately au accidentally sijui, kulitumia kumaanisha 'kubembeleza mtu wa jinsi tofauti na yako akukubalie kimapenzi'
Hivyo endapo mtu utasema, 'Usingizi ulikuwa ukiyatongoza macho yangu' ataonekana kana kwamba amekosea!
 
Social = Jamii
Socialize = Jamiiana.

Sasa swali ni kua why Socialize inamaanisha kujumuika wakati Jamiiana inamaanisha kufanya mapenzi?

Ndio swali kuu hapa!!
 
umelenga shark........mia.........
Social = Jamii
Socialize = Jamiiana.

Sasa swali ni kua why Socialize inamaanisha kujumuika wakati Jamiiana inamaanisha kufanya mapenzi?

Ndio swali kuu hapa!!
 
ku-socialize kwa kiswahili ni kujichanganya, kujumuika, nk. Kujamiiana limetafsiriwa kutoka kwenye "sexual intercourse". Na kwa kweli kitendo hicho ni sawa kabisa kiitwe "kujamiiana" yaani kuungana kimapenzi, kufanya ngono, kuunganisha via vya uzazi. Ndo intercourse yenyewe hiyo, au?
Haswaaa....................
 
Social = Jamii
Socialize = Jamiiana.

Sasa swali ni kua why Socialize inamaanisha kujumuika wakati Jamiiana inamaanisha kufanya mapenzi?

Ndio swali kuu hapa!!
Hivi "social=jamii" au "society=jamii"?
 
hili neno limetokana na neno la kiarabu " Jimai au husemwa ku-jimai"likimaanisha kufanya tendo la ndoa.hivyo nasi tukaamua kutohoa toka lugha ya kiarabu na kuita kujamiana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom