Utoh na njia mpya kumsafisha Jairo

Wanatumia MASABURI kufikiri ndo maana wanafikiri Watz wa leo ni wa kuwahaada. Mnazidi kuamsha hasira za raia tena kwa kasi ya ajabu. Mtaishia pabaya sana. Watanzania sasa tuamini kabisa serikali si safi hata kidogo na haihitaji tochi ilikumulika maana wamepigwa upofu mpaka mambo yawaharibikie mikononi.
 
Back
Top Bottom