"Utitiri wa Recruitment companies"

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Kumekuwa na Utitiri wa Recruitment companies hapa Tanzania Je zina manufaa yoyote kwa mfanyakazi au zinazidi sababisha na kuhalalisha unyonyaji wa mishahara duni,kazi zisizo na mkataba decent,marupurupu hewa. Kampuni nyingi sasa zinatokea Ku outsource HR duties mfano kampuni ya Erolink imekamata Vodacom, Airtel nao wameibuka wadosi wenzao wana manage wafanyakazi, kuna Kampuni mpya ya Mafuta iitwayo Petrobras nayo imeshatangaza tenda ya kumanage HR. Je Wizara ya Kazi na ajira inaliratibu na kulisimamia swala hili kwa mtazamo wa kibepari au kuboresha maisha ya wafanyakazi wa nchi hii. Maana hizi Kampuni za kuajiri zinalipwa pesa nyingi kiasi kwamba ni bora pesa zile wangelipwa wafanyakazi wakajituma kuliko kuwapunja mishahara, no medical insurance etc.
 
Back
Top Bottom