Halafu siku hz kaja na staili mpya bila shaka kutoka kwa msanii JK...kukaa kimya, kwamba huo ni upepo tu utapita!.Hii ndio kazi anayoiweza huyo msanii wetu, teuzi ilikuwa kila wiki, sasa ni kila siku!.
Mimi bado niko bandarini na ule mkataba wa hovyo, siondoki kule n'go!,
Wewe endelea kuteua tu hata kila dakika, hao wanaokufundisha huu utoto ili tusahau ujinga wenu mliofanya kwenye mkataba wanakudanganya.
Hao Master hata huwa siwafuatilii kabisa.Subirini mondi na zchu wawafanyieni jambo nyie msahau kila kitu
Ova
Kwangu mimi ni maoni yangu naona Prof Makubi kahushwa choe maana alianza kuwa CMO(MGANGA MKUU WA SERIKALI) baadae akapandishwa kuwa Katibu Mkuu wizara ya Afya.Sasa kuridi kuwa mkurugenzi wa MOI ni demotion ya hatari ila mshahara wake wa mwisho akiwa katibu mkuu unaweza kubaki kama ilvyoRais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake
Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) akichukua nafasi ya Gharib Bilal (Makamu wa Rais Mstaafu) ambaye amemaliza muda wake
Amemteua Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Marten Lumbanga aliyemaliza muda wake
Dkt. Edwin Mhende ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Plc kwa kipindi cha pili
View attachment 2649635
View attachment 2649639
Prof. Abel Makubi
View attachment 2649640
Dkt. Respicious Boniface
Toka uKatibu wa Wizara kwenda Mtdj MOI. Halafu anaripoti kwa waliokuwa wasaidizi wake huko Wizarani. Only in Tz. Huyu ni Dr Bingwa magonjwa ya Moyo/Damu. Wapi na Wapi Mifupa?Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake
Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) akichukua nafasi ya Gharib Bilal (Makamu wa Rais Mstaafu) ambaye amemaliza muda wake
Amemteua Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Marten Lumbanga aliyemaliza muda wake
Dkt. Edwin Mhende ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Plc kwa kipindi cha pili
View attachment 2649635
View attachment 2649639
Prof. Abel Makubi
View attachment 2649640
Dkt. Respicious Boniface
Umechoka na Taarifa za teuzi Kwa Awamu Hii tu au umekuwa unachoshwa vipindi vyote hata vilivyopita?Bi mkubwa kila siku teuzi ...TUMECHOKAAAA
Pole.nafsi yangu inaumia sana!
naona kila kitu kilichokizuri cha watanganyika kinaondoka na wanaotengeneza hoja ya kuondoka hivi vitu ni watanganyika wenyewe wakimtumia mama kama muhuri tu na kumbebesha kila lawama huku wakisema hawana cha kufanya watapiga kelele kisha watanyamaza tu halafu watasahau kweli?
binafsi sijausoma lakini mpaka unafika hapa lazima nikubali kuwa tumepigwa na tutake tusitake tanganyika wanayoifaidi ni familia chache sana zenye hoja nzuri za ushawishi lakini wakiuza nchi kwa faida ya ubinafsi wao.
kuna muda unatamani viongozi wote wafe na tuanze upya labda kunaweza kuwa na unafuu.
waafrika bado tunasafari ndefu sana hapa ndipo naukumbuka wimbo wa utoto unaosema tumefika bado kisha mwitikiaji anasema bado achoki anauliza tutafika lini naye anabaki na jibu moja linalojirudia kuwa bado.