UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

Definately hata huyo rais katiba inaweza ikapinduliwa akaswekwa magereza.
Dotto James(paymaster General) anaponaje wakati amefanya malipo nje ya utaratibu, hatutajali faida ya ATCl bali je!!! Utaratibu umefatwa????
Dogo Dotto mwambie mjomba basi maana unaenda kubaya, and no one can tolerate such a violation of payment rules.
Doto mdogo wangu UTAFUNGWA!!!!! Kimbia maana hukwepi mkono wa Bunge lililokwepwa ktk matumizi nje ya mipango.
Watu wanajua kujiliwaza nyuma ya keyboard! "hatutajali faida ya ATCL" hahahahahah!
 
Shida wote wanaenda oa kanda ya kaskazini so bado kaskazini itaendelea ku make!
Mimi nipo kanda ya ziwa hapa nafanya kazi. Ukiangalia asilimia kubwa ya maeneo yake hakuna maendeleo kwasababu watu wa huku hawana desturi ya kuendeleza makwao kama kaskazini wanavyofanya. Huku mtu akifaulu shule nyumbani kwao watamsahau coz atapotelea mikoa iliyoendelea na kuwaacha wazazi wake na ndugu zake kwenye dimbwi la umaskini. Ndio maana mimi nawacheki tu hawa wanajioshea ujinga wakati huyo aliyeteuliwa anapambania mkate wa familia yake.
 
Watu wanajua kujiliwaza nyuma ya keyboard! "hatutajali faida ya ATCL" hahahahahah!
Mhhh faida katika kukiuka taratibu ni hasara, nani kakuambia bei halisi ya ndege ndyo iliyolipwa!??? Aliidhinisha nani.hayo na mengine yatahitaji majibu mnamo 2026 january bunge litakapokaa.
 
Ni kweli alifiwa na familia yake yote kwenye ajali, baadae alikuja akaoa mwanamke mwingine na anaimba humo humo kwenye kwaya. Mke wa Kashiba ni yule sololist mwupe anaitwa........
Naomba kuweka kumbukumbu sawa.....James Kilaba ambaye ndo DG wa TCRA alifiwa na watoto wake wote kwenye ajali. Kabla ya hapo alishapoteza mke wake wa kwanza hivyo akao mke mwingine ambaye alipoteza watoto wake wawili kwenye hiyo ajali iliyo chukuwa pia maisha ya mtoto wake mkubwa ambaye aliachwa na marehemu mke wake.
 
Najua JPM anasafisha harufu za Lowassa, kwani Sanga alikuwa Lapf na Mmasai Lowassa ndiye aliteua huyu alipotoka NSSF na kupata Post ya LAPF na hapa JPM akasahau kuwa Sanga ni product ya Lowassa ndo akampa PSSSF lakini akakukumbuka kuwa hata Irene Isaka (ex SSRA CEO) pia alikuwa shemeji kwa mke wa Lowassa na ndiye alimpa SSRA, sasa Hosea Kashimba ana madudu aliyotokanayo PPF huyu JPM amepewa poor recommendation juu ya huyu au kafanya kwa kutumia U-kashimba?
Ppf Erio baada ya kumtoa chief accountant aliyekuwa anamdhibiti ktk kufuja fedha kwa kulipana mamilion kila baada ya miaka miwili na huyo hosea akiwa ni mfaidika wa huo ufisadi, Erio alimvuta hosea nssf ili akiwa kama auditor afikie madhambi atayofanya nssf.oversudden jiwe kagundua kuwa yupo mficha madhambi na mwizi maarufu ndo kamteua asaidi kuiba hela za kampeni 2020
 
Unamkosea sana JPM sijui amekugusa wapi katika usanii wako. JPM haibi na anajua anachofanya. Watu kama nyie mngekuwa Rwanda mngekunya maneno yenu. It’s so sad. Unamkashfu mtu bila kujua Wewe ni binadamu na unapaswa kutofautiana na mbwa.
 
Lisu atawanyoa mavuzi nyang'ao ninyi, hizo ndege nani aliidhinisha manunuzi kama syo njia ya kupitisha wizi, kuna mchakato wa tender ulifanyika? Chato airport nani aliidhinisha???? Huo ndo ufisadi mkubwa kutokea tangu uhuru, mtu anakaa na ukoo wake wanafanya matumizi nje ya utaratibu halafu unamtetea?Lisu akishakunyoa ndo utaweza kumpata mwanaume
 
Jamaa mchana Kazi Kipindi cha JK alikuwa internal auditor kama Director pale PPF. Hapa siyo usukuma. Jamaa anastahili.
Nakubaliana na wewe. Kama kuna mafanikio yoyote PPF Kashimba ana mchango mkubwa sana. Haikushangaza aliteuliwa kuongoza PPF wakati wa kuhitimisha shughuli zake. Hilo halikuwa jambo dogo. nakubaliana na wewe uteuzi wa Kashimba sio suala la ukabila ni mchapa kazi kweli, na ana hofu ya Mungu huyu jamaa, sio muigizaji
 
Mimi naweza hisi ni operational issues, kwa sababu kama aliyepewa cheo ni aliyekuwa Director of Internal Audit, you can just guess kwamba atakuwa ameripoti issues crucial na kama unavyomjua Magu akaamua kumtumbua bosi na kumkabidhi kazi aliyeripoti.

Nimewaza hivyo kwa kuangalia jinsi Magu anavyowapa nafasi wale walikuwa kwenye kamati maalumu kadhaa.
Unachanganya madesa...Kashimba katokea NSSF usimhusishe na kutumbuliwa kwa Sanga
 
Nakubaliana na wewe. Kama kuna mafanikio yoyote PPF Kashimba ana mchango mkubwa sana. Haikushangaza aliteuliwa kuongoza PPF wakati wa kuhitimisha shughuli zake. Hilo halikuwa jambo dogo. nakubaliana na wewe uteuzi wa Kashimba sio suala la ukabila ni mchapa kazi kweli, na ana hofu ya Mungu huyu jamaa, sio muigizaji

Hakuna zaidi ya ukabila na upayukaji usio na tija, mlipayuka kwenye korosho sasa mmeufyata, na hata kikokotoo mtaufyata vinginevyo psssf itakuwa caput mda sii mrefu.time will tell
 
Hakuna zaidi ya ukabila na upayukaji usio na tija, mlipayuka kwenye korosho sasa mmeufyata, na hata kikokotoo mtaufyata vinginevyo psssf itakuwa caput mda sii mrefu.time will tell
Hoja yako ni nini hapa? Na wewe umeamua kupayuka?
 
Back
Top Bottom