Leo hii ni siku ya 3 hatuna umeme hapa kwetu.
Nishachoka. Kama huo umeme unaletwa na Rostam au sijui Symbion..mimi I care less. Nataka umeme that's it
mengine mtajuana wenyewe na nakala zenu ndefu
kweli watu wana hasira.... hapo kwenye Red mkuu ulimaanaisha nini?