Utendaji wa Tume & ziko ngapi?

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
Wazalendo wenzangu,kwa kipindi cha takriban miezi 12 nimekuwa najiluliza tume za zinazoundwa na raisi/serikali ziko ngapi?na utendaji wake nani anajukumu la kuufuatilia.

Naona na Nadhani kuna umuhimu wa kuweka tovuti ya kuorodhesha (List) ya tume zinazoundwa na muda wake unatakiwa kukamilisha kazi,na matokeo(findings) za tume.alafu kuwe na uwezekano wa kujua kama matokeo yalitiliwa mkazo,na gharama za kuendesha hizo tume na washiriki katika hizo tume.na je kuna watu wanafanya kazi katika tume zaidi ya moja kwa wakati huo huo.

Teknologia ipo na tunaweza kuifanya hii kazi.

Its time we take action to change uchumi wetu kwa kushiriki katika siasa ya nchi yetu.
:confused:
 
Tuition inayohitajika hapa
1. ya kwanza ni kuhusu umuhimu/mazingira ya tume
2. halafu utendaji wake wa kazi
3. kisha utekelezaji wa mapendekezo ya tume...
4. nani anabeba gharama tume inapoundwa
5. orodha (ikibidi)
Najua kuna weledi humu ndani watatupatia elimu ktk hilo kisha ndipo tutakapoanza kusulubisha tume baada ya tume kuona kama taratibu zilifuatwa
 
Msanii
Ume ainisha vizuri sana nasikia kuna tume inafuatilia maswala ya albino,hii nimeambiwa tu na mtu,is true,and if thats the case nchi inaelekea wapi,wataalm ktk serikali ya JK tueleze
 
Back
Top Bottom