hakuna uwezekano huo, kama sababu zako ni za kawaida Bt better kama unarefa Kada ya Sheria anaweza akakusaidia Bcoz wthout idhbati za Kidaktari na Kisheria hauwezi kustafishwa kwa manufaa ya Umma!
utastahili kulipwa fao la kujitoa, ambalo lilileta utata sana hivi karibuni,
fao la kujitoa kwenye mifuko mingi ,wewe unasema upo halmashauri
huko halmashauri kuna watumishi wanachangia PSPF na wengine LAPF.
kwa PSPF Fao la kujitoa kwa yeyote ambaye amechangia chini ya miezi 180 atalipwa
jumla ya michango yake pamoja na jumla ya michango aliyochanga mwajiri.
LAPF sina uhakika lakini nao nadhani watakuwa wanalipa hivyohivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.