Utaratibu wa utata katika Kitambulisho cha Taifa

inols

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
283
95
Wanajamii forum naomba nijulishwe kuhusiana na utaratibu wa uwandikishwaji wa kitambulisho cha taifa. Maana naona kama vijana umri wa miaka 18 hadi 30 wanazongushwa kweli, yaaani wakifika ofisi za serikali za mitaa wanaambiwa wakalete vivuli vya vyeti vya elimu, kitambulisho cha kazi, kitambulisho cha kura, yaaani kwa kweli inashangaza. Kwani akija mtu wa makamo akaonesha kivuli chake cha kitambulisho cha kura zoezi la uwandikishwaji lake linaendelea bila kudai viambatanisho vingine. Kwa kweli inabidi tuwe macho kwa sababu hili zoezi linaweza likageuka kama zoezi la usajili wa namba za simu ambazo mwishowe zikaishia kuchangia CCM, kwa hiyo wasije wakawa wapo kwenye mpango wa kuzoretesha uwandikishwaji wa vijana ili wakati wa upigaji kura wasiwe na vigezo kwa kukosa vitambulisho vya taifa.
 
Back
Top Bottom