Utapeli wa nyumba za kupanga

mean girl

Member
Feb 22, 2011
27
1
Habari wana jf,hiv karibuni kuna jamaa yangu mmoja alitapeliwa kias cha 3.15 mil kwa hawa jamaa wanaojiita madalali na wenye nyumba feki.

Cha kushangaza ni kwamba aliporipoti polis,kumbe tayari hawa jamaa wanafahamika biashara yao pia wanafahamu nyumba ambyo hawa jamaa wanaitumia kuifanya ndio sehemu ya malipo ili mlipaji aamin kua kweli mwenye nyumba anajiweza.

Ndugu zangu naomba tuwe makin na hawa jamaa manake kumbe ndo biashara yao kazi yao kutangaza udalali kwa njia yoyote ile ili waweze kutapeli watu.
 
Back
Top Bottom