Utapeli mwingine kwa wanaotafuta kazi

Fubu G

Senior Member
Oct 7, 2012
110
18
Leo majira ya saa 10:54 AM nimetumiwa massage na no. 0719734458 ikisema hivi:


Hello, am Mr. Stephen from BRELICS LTD Dar, Tupo kikaoni tunapitia CV za kuinterview for HUMAN RESOURCE POST, your cv is good nataka tufanye deal. ntakusaidia upate kazi hii kwa masharti yafuatayo, salary ni 1.2Million ukipata salary ya kwanza utanipa laki 3, na kabla ya saa 10 jioni uwe umetuma sh. Elfu 40 by tigopesa kwenda namba hiihii, ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali then ntakutumia kwenye email, amesema anataka hiyo hela leoleo, utapigiwa simu nikitoka kikaoni lini uje for interview, jitahidi utume hiyo hela mapema.


Majibu Yangu kwa Mr. stephen ( kwa hasira na kiingereza cha kuunga).
"thanx for your kindness! But as an interrectual administrator I can not do such stupid thing! First, the salary scale you mentioned is irrelevent! Make screening whatever you like if you will not consider me as a suitable candidate fu**k :rockon: yourself haaaaa haaaa haaaa.


Ushauri: Tuwe makini tunaotafuta kazi mitandaoni kwani tangazo la hawa mbwiga nililiona Zoom tanzania so kama nisingekua makini nadhani Elfu 40 zingeondoka kirahisi tu.ukizingatia Elimu tuliyoipata tumeipata kwa ghalama kubwa sana hvyo tuitumie katika tambuzi mbalimbali ili hawa jamaaa washindwe kwa jina la Mungu.
 
Safi sana umemkomesha tapeli

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
[color=#fft852600]Tatizo ni ukosefu wa ajira pamoja na ubanguzi wa kazi kwa wasomi wetu, majamaa yamesoma na kazi hayana yanaunda binu ya kijambazi mtandaoni kwa ajili ya kutapeli wanaotafuta kazi

ukiyaambia neendeni kijijini mkalime hayataki.
tuweni makani sana watanzania na majitu kama haya
[/color]
 
hongera sana kwa kumshtukia wako wengi sana,hata humu wapo,njaa inawafanya wafanye mambo ya ajabu
 
[h=3]mwingine huyu ...
Tony Went <tonywent@yahoo.fr>[/h]
habari natumaini mzima naitwa tony nimepata contact zako linked in

ninapofanyia kazi kunapost zimetoka za Engineer Electrical
kwasasa npo off arusha nafanyia Ethiopia Number yangu +255752296495

eti nae alitaka kuniingiza mjini..
 
Na mimi ilo jamaa lilinitumia hyo sms......---- kabisa watu tupo siriaz analeta maswala ya kimbwiga hapa:mad:
 
mitapeli mingine bhana, hata haitumii akili, lilidhani linamtapeli mburula mwenzake---umelikomesha kweli!
 
Ushauri: Tuwe makini tunaotafuta kazi mitandaoni kwani tangazo la hawa mbwiga nililiona Zoom tanzania so kama nisingekua makini nadhani Elfu 40 zingeondoka kirahisi tu.ukizingatia Elimu tuliyoipata tumeipata kwa ghalama kubwa sana hvyo tuitumie katika tambuzi mbalimbali ili hawa jamaaa washindwe kwa jina la Mungu.

Hivi jamani jeshi la polisi haliwezi kushirikiana na makampuni ya simu kuzuia huu utapeli kwa sababu wewe umefanikiwa kugundua huo utapeli lakini mimi am sure kuna watu watakao kuwa wameshatapeliwa which is so so sad kwakweli nikifikiria mtu unamachungu yakukosa kazi afu mtu anachukua nafasi hiyo kukutapeli siyo vizuri kabisa kwakweli hao matapeli ipo siku yao tuu.
 
Mi huwa najiuliza kwamba tapelji huyo atatumia mbinu gan kunitapeli mimi na degree yangu? kimsingi wanaotapeliwa ni wehu wanao chase job kwa tamaa
 
zoom wanahitaji kuzitathimini kampuni hizo uchwara km zina exist kisheria ndio waweke link zao hiyo mm no mara ya nne napokea type ya huo ujumbe but uzuri amekutana na professional HR!
 
kuna web moja inaiwa 3W JOB Wale ndo matapeli wa ajira sana washanipigia mara kibao eti waniingize mjin yani majibu ambayo huwa nawajibu wanajua wenyewe hahahhaha mpaka najuta kuweka CV yangu kwao ila kiukweli kuibiwa kwa njia hiyo ya ajira aiseee bado saaana kwangu yani bado siwez kununua ajira ajira ni haki yangu kama professional psychologiat lazima nipate kazi inayohusiana na professional na si kwa kununua au kuhonga mimi huwa nawajibu mpaka wanajiona wao wwnyewe badooo sana wako nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom