Elections 2010 Utamu wa madaraka ya urais unapooonjwa hadi na mtoto!!

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,310
296
ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.....
 

Attachments

  • untitled.bmp
    725.8 KB · Views: 124
hii mizee ya kinyakyusa mijinga sana ...kujipendekeza na kujikomba komba tu..rubish
 
Baada ya uchaguzi lazima kuna baadhi ya wanachama wa ukumbi huu watajiua. :becky:
 
hii mizee ya kinyakyusa mijinga sana ...kujipendekeza na kujikomba komba tu..rubish

Hawa wazee sio wa kinyakyusa ni matapeli fulani waliokusanywa na Mwakipesile halafu wakapose kama machief eti kumtawaza mtoto wa kikwere kuwa chief wa wanyakyusa; uliona wapi hiyo? Chief wa wanyakyusa hutawazwa usiku wa manane akizungukwa na mafumu wake na hutawazwa na vikolombwezo vya siri ukiwamo usinga!! Sasa huyu mkwere wamempa mkuki eti ndio kawa chief!! Hao matapeli wamemuingiza mjini.
 
Chief Risiwani MWAKIKWETE :becky::becky::becky::becky::becky::becky:

wanyakyusa hawana chief FISADI...!
 
Back
Top Bottom