Utamlinganishaje kiongozi mwenye maono na kiongozi asiyejua kwa nini nchi ni maskini!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ni punguani tu ndiye anayeweza kupoteza muda kulinganisha kiongozi aliyekuwa na maono na kiongozi aliyekiri waziwazi kuwa hafahamu kwa nini nchi yake ni maskini. Watakaokwazwa na thread hii wanisamehe.
 
Back
Top Bottom