utamfikiriaje mwanaume kam huyu?

Mar 16, 2012
23
2
Kuna mwanaume anamke wake mzuri sana .mwanaume huyu yeye haishi kusifia wanawake kwenye internet na kuomba namba za simu. Na kuwaita Majina dear.
sasa mkewe inamuuna coz mume wake huwa hamsifii hata km kapendeza la na akijiangalia wale wanao sifiwa internet amewapita.
Anaumia sana anashindwa kuelewa shida ni nini?Na anamtimizia mahitaji yote km mwanamke anayotakiwa kumpa mumeo

Ushauri jamani coz hajamwambia mme wake alifuma hizo sms kwenye Internet(laptop ) mume alisahau ku logout .
 
Azungumze nae na lazaidi kama hasikii aanze kujiweka kujijali zaidi, ampe muda mdogo sana huyo mwanamme. Nikimaanisha pretendign kama anamtu anamkeep busy na she want to look good for him.

Atabadilika huyo
 
Akae nae chini amulize kimepungua nini anaweza kusema kama anampa kila kitu lakini hicho anachotoa mumewe hakioni kama kina thamani, na asijitie BP kwakumpekura atashindwa kuishinae mapema sana...
 
yeye amejuaje kama anasifiwa wanawake wengine kwenye internet? Uzuri wa mwanamke anayeujua ni mume wake, wewe utasemaje mke wake mzuri sana? ya ndani unayajua? bado sijaona ushauri unaoutaka, mke wake kakudanganya maana si kweli hizo tuhuma.
 
kuna wanawake wana vifua i see.....

kwa nini asingemuuliza hapo hapo mumewe kuhusu hiyo tabia?

:wink2: ila kama vipi na yeye aanze kusifia wakaka mahandisamu na mapicha yao loh!!!!(dont try this at home....)
 
Facebook mtu anakutongoza kaweka kabisa kwenye wall pichayake ya harusi
Ukimuuliza na huyo bibi harusi hapo oooh alifariki njianitulivotoka honeymoon
Mahusband wa dot com bwana? tunalo
 
Kuna mwanaume anamke wake mzuri sana .mwanaume huyu yeye haishi kusifia wanawake kwenye internet na kuomba namba za simu. Na kuwaita Majina dear.
sasa mkewe inamuuna coz mume wake huwa hamsifii hata km kapendeza la na akijiangalia wale wanao sifiwa internet amewapita.
Anaumia sana anashindwa kuelewa shida ni nini?Na anamtimizia mahitaji yote km mwanamke anayotakiwa kumpa mumeo

Ushauri jamani coz hajamwambia mme wake alifuma hizo sms kwenye Internet(laptop ) mume alisahau ku logout .

Ukimchunguza kwa makini kuku anakula nini kutwa nzima huwezi kumla kamwe
 
Mwambie na yeye amtafute sharobaro mmoja kwenye facebook, amwite Dear alafu ajifanye kasahau kulog off, aone kama yeye akisema cha nini, ajue wenzie wanajiuliza nitakipata lini?
 
Kuna mwanaume anamke wake mzuri sana .mwanaume huyu yeye haishi kusifia wanawake kwenye internet na kuomba namba za simu. Na kuwaita Majina dear.
sasa mkewe inamuuna coz mume wake huwa hamsifii hata km kapendeza la na akijiangalia wale wanao sifiwa internet amewapita.
Anaumia sana anashindwa kuelewa shida ni nini?Na anamtimizia mahitaji yote km mwanamke anayotakiwa kumpa mumeo

Ushauri jamani coz hajamwambia mme wake alifuma hizo sms kwenye Internet(laptop ) mume alisahau ku logout .

Wanaume walio wengi wenye ndoa ambao wana tabia za kusifia wanawake hovyo pia tabia zao si nzuri. Sielewi kwa nini nafikiria kuamini kuwa inawezekana huyo naye kitabia si mwaminifu. Namshauri huyo dada afanye uchunguzi.
 
Kuna mwanaume anamke wake mzuri sana .mwanaume huyu yeye haishi kusifia wanawake kwenye internet na kuomba namba za simu. Na kuwaita Majina dear.
sasa mkewe inamuuna coz mume wake huwa hamsifii hata km kapendeza la na akijiangalia wale wanao sifiwa internet amewapita.
Anaumia sana anashindwa kuelewa shida ni nini?Na anamtimizia mahitaji yote km mwanamke anayotakiwa kumpa mumeo

Ushauri jamani coz hajamwambia mme wake alifuma hizo sms kwenye Internet(laptop ) mume alisahau ku logout .

Asiogope lugha ya internet , aweke mbele kuwa yeye amewekwa ndani na tatizo liwepo pale atapopata ushahidi wa physical contact nao.
 
Kakuta kila kitu live halafu anataka ushauri ??????
Ni kumbananisha tu na risala yake ya kiutu uzima ili kumfanya ajue utumbo wake umejulikana na anaonekana ni mpuuzi.........asitumie lugha ya matusi hata kidogo itaharibu kipindi

Ila naye ndo ajifunze bibie kuchokora private avenue utayajua hata yale usoyadhania

Imeletwa kwenu kwa msaada wa OleSaidimu
 
kuna wanawake wana vifua i see.....

kwa nini asingemuuliza hapo hapo mumewe kuhusu hiyo tabia?

:wink2: ila kama vipi na yeye aanze kusifia wakaka mahandisamu na mapicha yao loh!!!!(dont try this at home....)

Hahahaha- kidogo umemek my day kwa hii lakini bado nataka kucheka tena(ili niende sawa na hizi stress za life)
Patachimbika hapo kwa nyumba aisee....
 
Huyo mwanamke mwambie asitie shaka, wanaume wote tuko kama huyo mme wake, tunapenda kuwasifia wanawake wa nje lakini ukweli tunapenda wake zetu kuliko hao wanawake wa nje...afu kuwasifia sio lazima uwe unafanya nao sex :cool2:
 
haaa! mume hajatulia kabisaaa wife jaribu kucheck jina la hao warembo wake wa huko internet then msuprise kwa kumwambia amsalimie huyo dear wake wa internet, am sure atashtuka then mpe ukweli wake ili aache kamchezo yaani amenogewa mpaka anasahau ku logout mijanaume mingine bwana ndo migume migume hii
 
Facebook mtu anakutongoza kaweka kabisa kwenye wall pichayake ya harusi
Ukimuuliza na huyo bibi harusi hapo oooh alifariki njianitulivotoka honeymoon
Mahusband wa dot com bwana? tunalo

Yani wapo tele wa hivyo. Tena Facebook book ndo pachafu Sasa hivi watu wamegeuza kuwa sehemu ya kutongozana.
 
Hahahaha- kidogo umemek my day kwa hii lakini bado nataka kucheka tena(ili niende sawa na hizi stress za life)
Patachimbika hapo kwa nyumba aisee....

Patachimbika haswa. Mi mwenyewe na imagine akiamua kumweleza sasa km wife anaudhibitisho akafungua na kumwonesha. Mtu hapa lazima awe mdogo km pirition
But kuna mwanaume wengine wazoefu anaweza mgeuzia kibao. Ha ha ha.Namwonea huruma haya mambo Bwana .....
 
haaa! mume hajatulia kabisaaa wife jaribu kucheck jina la hao warembo wake wa huko internet then msuprise kwa kumwambia amsalimie huyo dear wake wa internet, am sure atashtuka then mpe ukweli wake ili aache kamchezo yaani amenogewa mpaka anasahau ku logout mijanaume mingine bwana ndo migume migume hii

Haswa. Huyu kanogewa na amezoea.angekuwa anaanza asinge sahau kwasb ya woga
 
Back
Top Bottom