Utafiti wagundua namna ya kumfanya mzee awe kijana na kijana kuwa mzee

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,155
31,067
Maabara ya Boston imeweza kumfanya panya aliyekuwa mzee haoni kuweza kuona, misuli yake kupata nguvu, ubongo wake kuweza kufanya kazi kwa haraka na mwili wake kurudi katika hali ya ujana huku ikimfanya panya kijana kuwa mzee.

Utafiti huu umehitimisha kuwa, uzee ni mchakato unaoweza kurudishwa nyuma au ujana ukasogezwa mbele.
Utafiti huu umegundua kuwa mchakato wa mtu kuzeeka ni tofauti na ambavyo wanasayansi walikuwa wnaamini awali.

Umegundua kuwa DNA hubaki na nakala ya hali ambayo alikuwa nayo mtu enzi za ujana wake na hivyo kuna namna ya kufanya taarifa hizo kufikia seli na kuweza kurudisha hali hiyo ya ujana.

Naona ule msemo wa uzee mwisho Chalinze unakaribia kutimia. Natumai 2050 watu wataacha kuzeeka sasa. Utakuwa unasikia akina mama tunaenda Uturuki kuondoa uzee badala ya kuongeza makalio tu.

230112143108-reversing-aging-mice-exlarge-169.jpg
 
Duu, kwahiyo huyo wa kulia ndio alikiwa kijana, na huyo wa kishoto ndio alikuwa mzee?, hii inaweza kuleta shida hapa duniani, mchakato wa kuzeeka na kufa ni muhimu kwa kumaintaine sanity ya ecology ya wanyama.

Kuna wale binadamu waliowekwa kwenye majokofu wakiwa na 30yrs to 50yrs ili baada ya miaka 50 watolewe na kuendelea kuishi, hao naonawaweka kundi gani from this panya researches?.
 
Maabara ya Boston imeweza kumfanya panya aliyekuwa mzee haoni kuweza kuona, misuli yake kupata nguvu, ubongo wake kuweza kufanya kazi kwa haraka na mwili wake kurudi katika hali ya ujana huku ikimfanya panya kijana kuwa mzee.

Utafiti huu umehitimisha kuwa, uzee ni mchakato unaoweza kurudishwa nyuma au ujana ukasogezwa mbele.
Utafiti huu umegundua kuwa mchakato wa mtu kuzeeka ni tofauti na ambavyo wanasayansi walikuwa wnaamini awali.

Umegundua kuwa DNA hubaki na nakala ya hali ambayo alikuwa nayo mtu enzi za ujana wake na hivyo kuna namna ya kufanya taarifa hizo kufikia seli na kuweza kurudisha hali hiyo ya ujana.

Naona ule msemo wa uzee mwisho Chalinze unakaribia kutimia. Natumai 2050 watu wataacha kuzeeka sasa. Utakuwa unasikia akina mama tunaenda Uturuki kuondoa uzee badala ya kuongeza makalio tu.

View attachment 2483078
Sasa mbona dingi yako atakusalimia,maana utakuwa umemzidi
 
Back
Top Bottom