Utafiti uwe na takwimu

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Habari nyingi zinazohusu ufisadi naona hazina takwimu za kuzitia nguvu.
Hali hii si nzuri kwani watu wanaweza kuchafuliana majina kwa sababu binafsi.
Tujenge utamaduni wa kujenga hoja zenye ushahidi wa takwimu.
Mfano mzuri soma makala nyingi katka JF upande wa JUKWAA LA SIASA.
 
Back
Top Bottom