Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

wewe ndio kilaza. Richmond ipi au hujui ndio inaitwa symbion na obama alivyokuja alikwwnda kuizindua. Ingekuwa mibovu angeenda? Kwa taarifa yako ile mitambo ni ya kikwete na rostam. Lowassa walimwangushia jumba bivu coz ndie alikuwa waziri mkuu. Hujiulizi kwanini yale maazimio ya bunge baada ya kujiuzulu lowassa yaliishia pale pale? Kwanini wasimkate kama kweli ni muusika.

umezungumza point sana mkuu
 
Huo utafiti umefanyika katika viunga vya Lumumba....unategemea nini?.........huo utafiti mnaonaga nyny tuu........na sisi tuna tafiti zetu zinaonesha ni Slaa kwa 63.33%
 
Lowassa hajatangaza watu wahame nchi akipata ukuu wa nchi. Kuna waliotangaza hivyo ila Bahati mbaya Sana uwezo wao wakuongoza ni mdogo na hata hivyo hawana mvuto!

Membe na maadui 11. Akiwemo mwandishi wa habari then sikuchache zinapita tunashuhudia Kibanda kutolewa jicho....
 
HAMNA ANAYEWEZA KUZUIA CHAGUO LA UMMA, lowassa 2015 , JK atake au asitake ni Lowassa kwa tiketi ya ccm 2015

Hatutaki rais wa kulalamika, kulialia

TUNATAKA MCHAPA KAZI, anayeogopwa na maofisaa waandamizi serikali, tunataka mtu wa kuogopwa na WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, rais asiyepoteza muda ovyo

Mtu wa kutoa maamuzi magumu

hiyo ndio sampuli ya kiongozi anaefaa kutongoza tupo pamoja mkuu
 
Wakuu salama......

Katika ripoti iliyotoka jana kuhusu utafiti uliofanywa na Economists Intelligence Unit ya nchini Uingereza, ndugu Edward Lowassa kaongoza tena katika utafiti huo. Sehemu ya ripoti hiyo inaeleza ya kwamba Lowassa ndiye mwanasiasa anayekubalika zaidi ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwania urais 2015.

Economist Intelligence Unit ni moja ya taasisi/kitengo bora duniani katika maswala ya kiitafiti kwenye nyanja mbali mbali likiwemo maswala ya uchaguzi.

Tarehe 26/11/2007, kitengo hiki kilitoa ripoti ya utafiti wao kuhusu uchaguzi wa Marekani ya kwamba Obama ataibuka mshindi katika uchaguzi wa 2008. Matokeo nafkiri tunayajua....

Tarehe 14/10/2012, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Ghana, ya kwamba John Mahama ataongoza katika uchaguzi huo na ndiye alikuwa chaguo la wananchi. Matokeo wote tunayo....

Tarehe 24/10/2014, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Brazil. Katika ripoti hiyo mgombea Dilma Rouseff aliibuka mshindi kama kitengo hicho kilivyotoa ripoti yake ya kiutafiti..

Jana tarehe 20/12/2014, kitengo hicho kimetoa ripoti ya utafiti kuhusu uchaguzi wa mwakani hapa nchini. Na kumpa Lowassa ushindi mkubwa sana...

Mytake: chonde chonde tusithubutu hata kidogo kutupilia mbali maoni ya wananchi. Uchaguzi wa 2002 nchini Kenya, chama cha KANU kilipuuza maoni ya wananchi na hatimaye matokeo leo hii tunayo vichwani mwetu. Sauti ya wananchi ni kubwa sana ingawa unaweza usiione mpaka pale utakapo pata pigo takatifu.

Huu ni utafiti wa tatu mfululizo unaowagusa wananchi. Ni wito kwa CCM kusoma alama za nyakati na kusikia sauti za wananchi. Kura za maoni ni sauti za wananchi.

Source: magazeti ya leo (Mtanzania)..

Asante

Ocampo four

nasikia sababu ya kukataliwa na nyerere ni kuwa yeye sio MKATOLIKI. NAULIZA tu
 
MEMBE BADALA YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WANANCHI yaani ujinga,umaskini na maradhi kama anavyofanya LOWASSA;YEYE ANASHUGHULIKIA TANZANIA IJIUNGE NA JUMUHIYA YA NCHI ZA KIISLAMU DUNIANI OIC,WAKATI HUOHUO ANAJUA KATIBA INASEMA ICHI HAINA DINI.
 
Membe hajawai kuwa mtu makini hata siku moja. Na hatokuwa makini daima na milele
 
Wakuu salama......

Katika ripoti iliyotoka jana kuhusu utafiti uliofanywa na Economists Intelligence Unit ya nchini Uingereza, ndugu Edward Lowassa kaongoza tena katika utafiti huo. Sehemu ya ripoti hiyo inaeleza ya kwamba Lowassa ndiye mwanasiasa anayekubalika zaidi ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwania urais 2015.

Economist Intelligence Unit ni moja ya taasisi/kitengo bora duniani katika maswala ya kiitafiti kwenye nyanja mbali mbali likiwemo maswala ya uchaguzi.

Tarehe 26/11/2007, kitengo hiki kilitoa ripoti ya utafiti wao kuhusu uchaguzi wa Marekani ya kwamba Obama ataibuka mshindi katika uchaguzi wa 2008. Matokeo nafkiri tunayajua....

Tarehe 14/10/2012, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Ghana, ya kwamba John Mahama ataongoza katika uchaguzi huo na ndiye alikuwa chaguo la wananchi. Matokeo wote tunayo....

Tarehe 24/10/2014, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Brazil. Katika ripoti hiyo mgombea Dilma Rouseff aliibuka mshindi kama kitengo hicho kilivyotoa ripoti yake ya kiutafiti..

Jana tarehe 20/12/2014, kitengo hicho kimetoa ripoti ya utafiti kuhusu uchaguzi wa mwakani hapa nchini. Na kumpa Lowassa ushindi mkubwa sana...

Mytake: chonde chonde tusithubutu hata kidogo kutupilia mbali maoni ya wananchi. Uchaguzi wa 2002 nchini Kenya, chama cha KANU kilipuuza maoni ya wananchi na hatimaye matokeo leo hii tunayo vichwani mwetu. Sauti ya wananchi ni kubwa sana ingawa unaweza usiione mpaka pale utakapo pata pigo takatifu.

Huu ni utafiti wa tatu mfululizo unaowagusa wananchi. Ni wito kwa CCM kusoma alama za nyakati na kusikia sauti za wananchi. Kura za maoni ni sauti za wananchi.

Source: magazeti ya leo (Mtanzania)..

Asante

Ocampo four

Cow dung, cow pats, cow pies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom