Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

CCM ni chama cha kisasa na matumizi ya tafiti ni mfumo wa kisasa katika siasa.
tunataka umpinge Lowassa kwa matokeo ya tafiti na siii kelele za UKAWA zikutishe
hizo tafiti zinazofanywa na makada wa ccm hatuna imani nazo watanzania hawawezi kumchagua Lowasa hata kukimbia mitaa 100 hawawezi wa nini sasa huyu
 
Wakuu salama......

Katika ripoti iliyotoka jana kuhusu utafiti uliofanywa na Economists Intelligence Unit ya nchini Uingereza, ndugu Edward Lowassa kaongoza tena katika utafiti huo. Sehemu ya ripoti hiyo inaeleza ya kwamba Lowassa ndiye mwanasiasa anayekubalika zaidi ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwania urais 2015.

Economist Intelligence Unit ni moja ya taasisi/kitengo bora duniani katika maswala ya kiitafiti kwenye nyanja mbali mbali likiwemo maswala ya uchaguzi.

Tarehe 26/11/2007, kitengo hiki kilitoa ripoti ya utafiti wao kuhusu uchaguzi wa Marekani ya kwamba Obama ataibuka mshindi katika uchaguzi wa 2008. Matokeo nafkiri tunayajua....

Tarehe 14/10/2012, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Ghana, ya kwamba John Mahama ataongoza katika uchaguzi huo na ndiye alikuwa chaguo la wananchi. Matokeo wote tunayo....

Tarehe 24/10/2014, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Brazil. Katika ripoti hiyo mgombea Dilma Rouseff aliibuka mshindi kama kitengo hicho kilivyotoa ripoti yake ya kiutafiti..

Jana tarehe 20/12/2014, kitengo hicho kimetoa ripoti ya utafiti kuhusu uchaguzi wa mwakani hapa nchini. Na kumpa Lowassa ushindi mkubwa sana...

Mytake: chonde chonde tusithubutu hata kidogo kutupilia mbali maoni ya wananchi. Uchaguzi wa 2002 nchini Kenya, chama cha KANU kilipuuza maoni ya wananchi na hatimaye matokeo leo hii tunayo vichwani mwetu. Sauti ya wananchi ni kubwa sana ingawa unaweza usiione mpaka pale utakapo pata pigo takatifu.

Huu ni utafiti wa tatu mfululizo unaowagusa wananchi. Ni wito kwa CCM kusoma alama za nyakati na kusikia sauti za wananchi. Kura za maoni ni sauti za wananchi.

Source: magazeti ya leo (Mtanzania)..

Asante

Ocampo four

huku kwetu nina timu ya vijana tupo tayari kwa lowasa tuna mkubali cc hatuangalii chama tunaanglia utendaji kazi team lowassa forever
 
Lizabon wew ni garasa kweli unawezaje taja hazina ya viongozi ukasahau mkombozi wa nchi ajae ...sema Lowassa 2015 President
ukiona mtu mwenye akili timamu anamsifia mtu mchafu kama Lowassa basi hujue yeye ni mchafu zaidi. bora mlemavu wa kiungo kuliko mlemavu wa akili kama wewe endelea kujazia damu maiti.
 
Siyo Lazima Rais Atoke CCM !!Huyu FISADI Sijui Katoa Nini Na Camp Yake Ya Kina Chenge.People Are Totally Blinded.
 
huku kwetu nina timu ya vijana tupo tayari kwa lowasa tuna mkubali cc hatuangalii chama tunaanglia utendaji kazi team lowassa forever
kumbe mna timu kabisa mmeshaisajili mkuu naona mmejiandaa kumpa moyo Lowassa mtahangaika sana
 
Lowassa ndiyo rais wa 2015.....huyu jamaa ni noma.....shikamoo Lowassa

Kwa niaba yake naomba kupokea shikamoo yako kijana wangu! Marahaba kijana wangu! Tuombe Mungu daraja tutalivuka tukilifikia! Nakutakia Christmas njema na mwaka mpya wenye mafanikio! Ahsante!
 
Jana niliona uzi wa 2011 ukielezea mtandao wa manguli wa siasa za bongo na kisa cha Omar aljumaa kutoweka. Katika hekaya hiyo ilieleza kuwa jamaa hatafika huko. Kama ni kweli pole yake nawe mpiga ngoma wake sisi wengine tunaendeleackutumbua macho JF kupata yanayoendelea kujiri.

Wakuu salama......

Katika ripoti iliyotoka jana kuhusu utafiti uliofanywa na Economists Intelligence Unit ya nchini Uingereza, ndugu Edward Lowassa kaongoza tena katika utafiti huo. Sehemu ya ripoti hiyo inaeleza ya kwamba Lowassa ndiye mwanasiasa anayekubalika zaidi ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwania urais 2015.

Economist Intelligence Unit ni moja ya taasisi/kitengo bora duniani katika maswala ya kiitafiti kwenye nyanja mbali mbali likiwemo maswala ya uchaguzi.

Tarehe 26/11/2007, kitengo hiki kilitoa ripoti ya utafiti wao kuhusu uchaguzi wa Marekani ya kwamba Obama ataibuka mshindi katika uchaguzi wa 2008. Matokeo nafkiri tunayajua....

Tarehe 14/10/2012, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Ghana, ya kwamba John Mahama ataongoza katika uchaguzi huo na ndiye alikuwa chaguo la wananchi. Matokeo wote tunayo....

Tarehe 24/10/2014, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Brazil. Katika ripoti hiyo mgombea Dilma Rouseff aliibuka mshindi kama kitengo hicho kilivyotoa ripoti yake ya kiutafiti..

Jana tarehe 20/12/2014, kitengo hicho kimetoa ripoti ya utafiti kuhusu uchaguzi wa mwakani hapa nchini. Na kumpa Lowassa ushindi mkubwa sana...

Mytake: chonde chonde tusithubutu hata kidogo kutupilia mbali maoni ya wananchi. Uchaguzi wa 2002 nchini Kenya, chama cha KANU kilipuuza maoni ya wananchi na hatimaye matokeo leo hii tunayo vichwani mwetu. Sauti ya wananchi ni kubwa sana ingawa unaweza usiione mpaka pale utakapo pata pigo takatifu.

Huu ni utafiti wa tatu mfululizo unaowagusa wananchi. Ni wito kwa CCM kusoma alama za nyakati na kusikia sauti za wananchi. Kura za maoni ni sauti za wananchi.

Source: magazeti ya leo (Mtanzania)..

Asante

Ocampo four
 
CCM ina hazina ya viongozi wenye sifa na wasio na kashfa za kifisadi. Wakati ukifika tutajua pumba na mchele

hatutaki tantarira, funguka ni akina nani hao, na jee utendaji wao ukoje??? tunataka mchapa kazi tumechoka kulialia, laumiana, kuchafuliana chama kwa kushindwa kutoa uamuzi mgumu

okoa ccm, rudisha uwajibikaji serikalini, leta maendeleo =LOWASSA
 
Lowasa hata ndani ya ccm hawez toboa,achilia mbali akipambanishwa na slaa,nionavyo mimi,lawasa akigombea urais na akapambana na halima mdee bado halima atampita ,mbali sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom