kichwat
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 1,819
- 587
Matokeo ya utafiti uliofanywa nchini Marekani na maabara ya Centre for Science in the Public Interest (CSPI) yanaonesha moja ya viungo vinavyotumika kutengenezea Coca-cola na Pepsi kiitwacho caramel flavouring 4-methylimidazole (4-MEL) kinaweza kukusababishia kansa. Lakini kampuni ya Coca-cola imekataa matokeo hayo.
Tayari Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Msumbiji ameagiza wataalam wa wizara yake na kampuni ya Coca-cola kufuatilia matokeo hayo ya CSPI ili ukweli uwekwe wazi kulinda afya za wananchi wa Msumbiji.
Mlaji kaa chonjo.
Taarifa kamili: allAfrica.com: Mozambique: Coca-Cola Denies Cancer Claim

- CSPI found that the cans of Coke and Pepsi it sampled contained between 103 and 153 micrograms of 4-MEL. The California cancer warning label would be obligatory on cans with above 29 micrograms of the substance.
Taarifa kamili: allAfrica.com: Mozambique: Coca-Cola Denies Cancer Claim