Utafanya vp jamii ikiwa inamsonta baba yako ni mwanga/mchawi na hata baadhi ya wanamember katika f

sasa si tetesi tu tatizo liko wapi? Tuambie umepeta uvumi kuwa baba yako mchawi na wewe ukalithibitisha hilo. Hapo itakuwa rahisi kukushauri; hata hivyo kama itathibitika hivyo bado utaendelea kuwa mwanae (Mtoto wa mchawi).
 
Back
Top Bottom