UTABIRI: Wydad Casablanca wakichukua Kombe mashabiki wa Simba SC watajisifu kutolewa na klabu bora (bingwa)

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,392
12,981
Sijui hawa jamaa (mashabiki wa Simba SC) huwa wana nini?

Ngoja tusubiri mpira mkali Fainali ya Mabingwa Afrika ya Wydad Casablanca na Al Ahly, hii ni Fainali ya pili ambapo mwanzo walitoka kwa mbili moja nyumbani kwa Al Ahly.

Haya mashabiki wa Simba SC subirini Wydad ashinde mje kuandika nyuzi kuwa mlitolewa na timu ngumu.

Nawasilisha hoja.
 
Sijui Hawa jamaa(mashabiki wa Simba sc) huwa Wana Nini??

Ngoja tusubiri mpira mkali dhidi ya wydad Casablanca na Al ahly hii ni fainali ya pili ambapo mwanzo walitoka kwa mbili moja nyumbani kwa Al ahly.

Ngoja tusubiri mtanange huu (fainali ya mabingwa Africa)

Haya mashabiki wa Simba sc subirini Wydad ashinde mje kuandika nyuzi kuwa mlitolewa na timu ngumu.

Nawasilisha hoja.
43017290-5763-42F7-BC00-58D46BDE0774.jpeg
 
Sijui Hawa jamaa(mashabiki wa Simba sc) huwa Wana Nini??

Ngoja tusubiri mpira mkali dhidi ya wydad Casablanca na Al ahly hii ni fainali ya pili ambapo mwanzo walitoka kwa mbili moja nyumbani kwa Al ahly.

Ngoja tusubiri mtanange huu (fainali ya mabingwa Africa)

Haya mashabiki wa Simba sc subirini Wydad ashinde mje kuandika nyuzi kuwa mlitolewa na timu ngumu.

Nawasilisha hoja.
Na ndio itakavyokuwa
 
kama Hadi sasa hivi simba hawajajisifu na Waydad wako final CAF basi kweli Simba ni club bora
 
Back
Top Bottom