Utabiri: 2016 USA Presidential Elections Hillary Clinton Vs Governor Chris Christie

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Wakuu,

Mimi tayari niko mbele nishamaliza kazi ya kumrudisha jaluo mjengoni. Sasa inayowadia nii hii ya
Mama Clinton na huyu bwana. Senti hamsini yangu hio.

Hillary-Clinton.jpeg



AP689319454044.jpg
 
Hahahahah lol Ni aje Mkuu? Hata hatujamaliza chereko chereko za ushindi huu wa BO' we umeshaanza kutabiri kinyang'anyiro cha 2016!

Duh! We MKARI, lakini hii njemba ya NJ inajua kuzungumza banaaa....ikiwa inazungumza hutaki aache kwa raha ya kumsikiliza ila ubwanyenye wake ni lazima autafutie tiba haraka sana vinginevyo inaweza kuwa issue katika kinyang'anyiro cha 2016.
 
BAK

Huyu bwana atatumia hio management ya aftermath ya Sandy kama strong point kuonyesha he is bipartisan and
can work across party lines. Kisha re rubbed the republican establishment the wrong way maksudi kujipa ujiko flani.

Mimi niko kusherehekea mode na sina noma mazee. Hii ni mambo ya ku-focus on our next opponent.
Republicans better go back to the drawing board and reinvent themselves.

Swadaktaa!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ab-Titchaz
Ningekuwa nawachagulia Republican mgombea ningekwenda kwa Marco Rubio, kutokana na changamoto kubwa waliyonayo kwa Walatino, namuona Rubio kama Obama wa Kilatino, na baada ya Rais mweusi sioni kama Walatino pia hawapendi kutoa Rais.

rubio28n-1-web.jpg
 
Last edited by a moderator:
FOX NEWS wamemmaindi kweli chris christie kwa sababu alimsifia obama kwa kufanya kazi nzuri wakati wa hurricane sandy kule kwake new jearsey basi republicans wamekasirika kwanini alimsifia rais sasa walitaka kwenye kusifika akae kimya? alafu huyu mjanja sana anajua akimsifia obama tayari hapo anatafuta kura za democrats..huyu jamaa atafika mbali kisiasa kwa sababu kwa dunia ya leo huwezi kuonekana too conservative lasivyo hutapata kitu...jana kuna republican mmoja kwenye tv alisema inabidi wakae wajipange upya lasivyo hawataiona white house kwa muda mrefu sana
 
Mkuu mie kwa maoni yangu Republicans wengi wataenda kumuangukia Jed Bush ili awe mgombea wao 2016. Jed Bush ameoa latino which is a big plus in Florida, New Mexico, Colorado, Minnesota and Ohio.

Republicans pia inabidi wawe very inclusive kwenye chama chao na kuzikubali sera ambazo zinaungwa mkono na weusi, latino, asians vinginevyo WH wanaweza kuikosa kwa kipindi kirefu sana hasa ukitilia maanani Marekani inabadilika na miaka michache ijayo minority ndio watakuwa majority.

Kama hawakuachana na redneck attitude zao dhidi ya weusi, latino na wahamiaji wengine basi wataendelea kusononeka sana siku za uchaguzi Mkuu hasa katika uchaguzi wa Rais.
Ab-Titchaz
 
Last edited by a moderator:
Ab-Titchaz we mkare...mie pia nalipata mauzauza haya kula Bi Hilarious Clint atamwagika kugombea uraisi, hofu pekee ninayoiona ni umri kumtupa mkono bi dada, labda kama hii miaka minne itatumika kumjenga "kiftna" zaidi ili afunike "political charismatic seduction" ya "Jaluo"

Kwa sasa, Obamacare inaendelea kusaidia wote wenye Romnesia...
 
Last edited by a moderator:
BAK
Jeb Bush akigombania urais sidhani kama atapita....ngoja nikupe mfano...walimpa baba yao George HW bush urais..akaenda vitani kuwait/iraq, wakampa kaka yake George W Bush wakaenda vitani iraq bila hata mandate from UN na mpaka leo hii america ina suffer kiuchumi kwa sababu ya vita ya iraq...so wakimueka na jeb bush wamarekani wajue wanarudi tena vitani maana ile bush family inapenda kupigana/vita na ndio wanaoharibu uchumi wa marekani.
 
Last edited by a moderator:
Ushasikia methali ya mfa maji haishi kutapatapa!? Hata uchaguzi huu walitaka kichaka mwingine, Jed Bush, awe mgombea wao lakini wengine wakang'aka kwamba madudu yaliyofanywa na Kaka yake kwa miaka minane aliyokaa madarakani bado yanakumbukwa sana na wapiga kura wengi hivyo madudu hayo yangeweza kumuathiri katika kuchaguliwa kama mgombea wa Republicans na pia kuchagulia kama Rais wa Marekani.

Kuna uwezekano kati ya sasa na 2016 akatokea Republicans ambaye anaweza kujipambanua na watarajiwa wengine na Urais toka Republicans na hivyo kupata support kubwa ya kuwa mgombea wa chama chao.

Kama hakutakuwa na huyo mtu atakayeweza kujipambanua basi huyo ya Jed Bush kuoa latino na mafanakio aliyoyapata alipokuwa governor wa Florida yanaweza kutumika katika kumpigia debe ili awe mgombea wao 2016. Hakuna aliyetegemea G Bush awe rais wa Marekani hata Wazazi wake walisema yeye ndiye kilaza katika family yao.

Hata Romney angechaguliwa basi mwakani kungekuwa na uwezekano wa vita nyingine kule ME, lakini sasa hivi kwa BO' kuwa re-elected uwezekano huo wa vita umepungua sana...which is good for America and the whole World.


jeb bush akigombania urais sidhani kama atapita....ngoja nikupe mfano...walimpa baba yao George HW bush urais..akaenda vitani kuwait/iraq, wakampa kaka yake George W Bush wakaenda vitani iraq bila hata mandate from UN na mpaka leo hii america ina suffer kiuchumi kwa sababu ya vita ya iraq...so wakimueka na jeb bush wamarekani wajue wanarudi tena vitani maana ile bush family inapenda kupigana/vita na ndio wanaoharibu uchumi wa marekani...
 
Mkuu hata mimi nafikili Clinton Mr. anampigia kampeini za chini chini mkewe kwa ajili ya 2016. Mwaka 2008 Clinton alikuwa amepania kweli kweli mkewe ampiku OBAMA - kuna wakati fulani alipo ona effort zake kama zianelekea kugonga mwamba alitumia terms fulani kum-describe OBAMA ambazo zilinishangaza sana! Sikuamni mtu kama Clinton Mr angeweza kabisa kutumia slur kama hizo!

We sema OBAMA ni binadamu mstaarabu sana, angekuwa mtu mwingine mama Clinton hasingepewa post yoyote kwenye administration ya OBAMA, sijuhi kama alimpa post kwa kutaka kuimarisha umoja kwenye chama chao au la.
 
For next half century democrats hawana mpinzani. Wanapeta tu. Times they are a -changin says Bob Dylan. I swear Dylan was spot on.
 
Niliwahi kusikia kuwa huyu Mama Clinton, kwa sasa hataki kuendelea na siasa, hivyo baada ya uchaguzi ataachia nafasi yake kwa mtu mwingine.
Tukumbuke kuwa Al Gore ameanza kurudi kimya kimya, anaweza akasimama tena 2016
 
Back
Top Bottom