Usitegemee kuwa maarufu kirahisi kwa jina la kimombo(yeoyebo)......

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,503
12,828
Jamani mastaaa wetu poleni na mishe mishe za misiba na wagonjwa....
hapa bongo kuna masupastaa wa nyanja mbali mbali ambao wanang'ara kwa wigo tofauti. lakini amini nawaambia msikimbilie majina ya kimagharibi jikiteni kwenye majina yenye asili yetu ya kiafrika utapeta zaidi. najua wengi wenu mnapenda majina yanayokaribiana na yale ya wamagharibi badala yake yanageuka mzigo kwenu.....
embu angalia haya majina yanavyowatesa watumiaji

gabriel.... yupi....zacharia au
said.......
nassoro....
jacquiline....
Irene.... yupi... ngowi au yupi
Isabela..... yupi
ray.... yupi
charls....yupi
jacob... yupi
richie.....yupi , one, mtambalike au yule wa BBA
hii ni mifano ya watu wanaodhani wanajulikana sana lakini majina yao yanawapoteza.

embu cheki jina jeusi linavong'aaaaa jino moja mtu keshakujua haina kuulizana........
wasiwasi
kova
KASEJA
KAYUMBA
KANUMBA
LIYUMBA
MPOKI
masanja
mwampamba
SLAA
ZITO
MUGABE
MANDELA
ZUMA
NYERERE
KIKWETE
KIBONDE
RUGE
WAMBURA
TENGA
WEMA
SUGU
MASAWE Hivi majina matamu kama haya ina haja gani ya kujiita mjina mguuuuumu wa kiitaliano aafu unataka tukujue
 
Back
Top Bottom