Usingiziiii:Viongozi wa africa kwenye mikutano ya kimataifa...

Ya nini kung'ang'ania madaraka wakati mwili ushachoka??? naona Mgabe na wengine wanakwenda kujaza viti tu mikutanoni hamna la maana..
Shame on you
 
Wanawakilisha nchi zao hivyoooo!!!

It's not enough to have a good mind, but it's how you use it. "Decarate 1673"
 
Maamuzi yakipitishwa tunasema hatukushirikishwa?? kumbe wakati mjadala unaendelea wao wameuchapa usingizi na kutokuwa makini...tunasafari ndefu saana ya ukombozi Afrinca
 
Mmbembeaji anatofauti gani na huyu MUGABE??
11_09_hmaerh.jpg
 
Hahaaaa naona kama Jongwe alikuwa anamuota Grace wake.....halafu huyu Grace si alimegwa na mlinzi...?
 
Halafu Mugabe 86 years old ametangaza kugombea tena Urais, mweh
 
Oya, hao jamaa hawajalala, wanafanya meditesheni. Mugabe jicho lake la kushoto liko wazi, wee angalia vizuri tu utaona!
 
Back
Top Bottom