Usimvalishe mwanao wala usishike ile kofia nyekundu ya Krismasi, Babu yule amaeingizwa kimakosa kwenye sherehe za Krismasi

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Jul 11, 2021
594
1,827
Kofia nyekundu ya Baba Krismasi Santa Claus'

Kama viumbe visivyokuwa binaadamu aliens watafika duniani katika wakati wa Krismasi, bila ya shaka wataamini Krismasi kuwa ni sherehe ya kufurahikia kuzaliwa kwa Baba Krismasi Santa. Majina ya ‘Santa Claus’, hayamo popote ndani ya Biblia.

Hata hivyo, Mtakatifu Nikolas Saint Nicholas (Baba Krismasi Santa Claus) alikuwa ni mtu halisi, askofu, ambaye alizaliwa miaka 300 baada ya Yesu. Kwa mujibu wa hekaya za kale, alikuwa ni mtu mwenye huruma mno na alitenga nyakati za usiku kwenda kutoa zawadi kwa mafukara. Baada ya kifo chake mnamo Desemba ya 6, watoto wa shule huko Ulaya walianza kusherehekea siku hiyo kwa karamu kila mwaka.

Baadaye Malkia Victoria aliibadilisha sherehe hiyo kutoka Desemba ya 6 kuwa ni Desemba ya 24 kuamkia Krismasi.

1703333076030.png
 
View attachment 2850723
Ukiwa kama Musim, kwanini nguvu na muda wako usiuelekeze kwenye kuijenga jamii Yako juu ya dini yenu?

Au unampango wa kujoin Christianity? Kama jibu ni hapana, then kwanini uko busy nao? Maana huu sio Uzi wa kwanza unaongelea ukristo .
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kofia nyekundu ya Baba Krismasi Santa Claus'

Kama viumbe visivyokuwa binaadamu aliens watafika duniani katika wakati wa Krismasi, bila ya shaka wataamini Krismasi kuwa ni sherehe ya kufurahikia kuzaliwa kwa Baba Krismasi Santa. Majina ya ‘Santa Claus’, hayamo popote ndani ya Biblia.

Hata hivyo, Mtakatifu Nikolas Saint Nicholas (Baba Krismasi Santa Claus) alikuwa ni mtu halisi, askofu, ambaye alizaliwa miaka 300 baada ya Yesu. Kwa mujibu wa hekaya za kale, alikuwa ni mtu mwenye huruma mno na alitenga nyakati za usiku kwenda kutoa zawadi kwa mafukara. Baada ya kifo chake mnamo Desemba ya 6, watoto wa shule huko Ulaya walianza kusherehekea siku hiyo kwa karamu kila mwaka.

Baadaye Malkia Victoria aliibadilisha sherehe hiyo kutoka Desemba ya 6 kuwa ni Desemba ya 24 kuamkia Krismasi.

View attachment 2850723
Ukimaliza tuambie Christmas imeandikwa wapi kwenye biblia? Na imeandikwa wapi kuwa ni tarehe 25 December kila mwaka ? Twende kazi
 
Mwana wangu mimi tena unielekeze namna ya kumvalisha? Sheikh kipoozeo tulia..

Kuna watu hizi dini zitakuja kuwakomaza makomwe, mfe mkiwa hamna nywele.
Mwamba kawaamulia wafuasi wa Kijana wa Bikra Mariamu leo mpaka wataomba poo! Huu ni uzi wa sita kuhusu makandokando ya Krismasi. Jaribu kukosoa cho chote kuhusu Mudi sasa uone moto wake 😁😁😁
 
Maisha hayako serious hivyo mkuu.. Nyie ndo mnafanya dini ionekane mzigo mzito vichwani mwa watu... Anyways Christmas ntakua alone nyumbani uje tusherekee wote😇😇
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom