Usijiite mwananchi bali mwenyenchi

Apr 3, 2012
28
7
Wadau naomba tubadilishe jina badala ya kuitwa mwananchi uitwe mwenye nchi ili kuwepo uhalali wa kila mmoja wetu kuwa na uchungu kwani pesa yako ktk kodi ndio inayotumika kuiendesha nchi na mafisadi uliowaajiri ndio wanaokuibia mali zako
 
Back
Top Bottom