Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

nampenda sana hyu mtu...
Historia yake ina vitu vya kujifunza.
Mungu amubariki sana mzalendo huyu[/QUOT

Mkuu mie nafikiri vitu vya kujifunza hapo ni kwamba kwenye maisha usikate tamaa hata kama kuna sehemu ulipata negative results just keep going!! mpaka utafanikiwa sometimes unapata mafanikio umri ukiwa umeshaenda.
 
Ooooh! Atlast, nilibishana sana na rafiki yangu uraia wa Kikeke!
Siku moja niliumia sana mguu baada ya kukanyaga kitu chenye ncha kali wakati nikirekebisha antena yangu ili nisimiss BBC Swahili, si unajua tena sie wa huku Gwanswagala!
Penda sana hii baba!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
huwa nawpenda xana anapoleta zile habari za kisa na mkasa , yaani huwa sina hamu kwani mbavu zangu huuma....ahahah hongera xana kikeke kwa kuwa mbunifu.
 
Aisee hii jamaa naikubali m'baaaya,yani akitangaza habari basi mtoto hatumwi dukani. Halafu wanamtiririko mzuri unaomfanya msikilizaji/mtazamaji kuwa na shauku ya kujua habari inayofuata. Sijui kwa nini hili linakua gumu kwa tv/redio zetu za nyumbani..!
Nashindwa kung'amua je!? Hili ni tatizo la waandishi au media zetu zimekosa wasimamizi mahiri.!!
 
kwa hali halisi ya elimu ya tanzania nafikiri si mzalendo ni mapungufu makubwa sana! kama mtu una fursa kama yake unaweza kumpeleka mtoto wako kwenye elimu ya tz eti ni uzalendo? baadaye maisha ya mtoto wako yakienda kombo utamwambia kuwa ulitazama uzalendo? michango mingine bwana!

Watu wengi wanalaumu kwa nini asimuhamishie mwanae UK kimasomo. Mie napata ukakasi kidogo. Majuu elimu ni aghali sana. Sidhani kama katika exchange program hii, kwenye nchi yenye kodi nyingi kama UK, waweza stabilize kwa muda mfupi.

tragedy of the commons
 
Huyu jamaa wa chaneli 10 anayesoma habari leo anamgeza salim kikeke kila kitu .
Na mwenyewe kujua kuhusu salum mwalimu mbona some days anasoma habari au Vodacom hayupo tena .
 
Back
Top Bottom