Ushawahi kuwaza kuhusu hili?????????????

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,187
Hivi ni kweli wanaume ni wengi kuliko wanawake?na ni kweli wanawake wengi hawajisikii vizuri endapo hawajaolewa au hawapo kwenye mahusiano fotauti na wanaume ambao ni single?
 
Hakna ukweli ndan hapo!utafiti wako haujakamilika rudi kafanye research upya.
 
nahisi waliohesabu/makarani wa sensa wanaweza kuwa na majibu ya swali lako.
 
kawaida sana, takwimu zinaonesha kila mwanaume amezungukwa na wasichana watano, hii imetokana na ugonjwa wa malaria kuwazidi watoto wa kiume kuliko wa kike(resistant to malaria), na hata hivyo wanaume wengi huwa na uwezo wa kuzaa watoto wa kike kwa maana kati ya X NA Y, X HUWA NA NGUVU KULIKO Y(SABABU YA JOTO NA ZINGINE)......SASA MWANAUME HAKUBALI ANAZAA WA 1 KE, 2KE, 3KE, 4KE....JUHUDI ZOTE ANATAFUTA WA KIUME. ndiyo maana unakutana na watoto wa kike wengi kuliko wa kiume, "PROFESSIONAL GROWTH DEPEND ON CRITICISM"
 
Kifupi ni kwamba-WANAWAKE NDO WENGI SAAAAAAAAANA KULIKO WANAUME THATS WHY MWANAUME MMOJA AWEZA OA WANAWAKE HATA KUMI NA ZAIDI IKIWEZEKANA.
Pia ndo maana unaona wanawake wanajitahidi kila siku kujilemba ili waonwe na wanaume walio wachache kuliko wao.
Hayo machache tu kwa leo.
AHSANTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom