Inategemea labda kwake pesa sio issue, na ana-value mambo mengine kuliko pesaHii tabia ya wanawake kupenda mpaka wanakopesha wapenzi wao hela nyingi mpaka milion 5 halafu jamaa anaingia mitini, hakuna kuoa wala hela hairudi .Je ni mapenzi gani haya jamani wan JF?
she loves for real. But that's the song and not the reality.wen womal lav.............?......yes thats the answa
well said husninyo I give you my thank.Mambo kusaidiana bwana. Sasa kama mpenzi wako anashida umuache aaibike wakati una uwezo wa kumsaidia. Tena kumkopesha haifai inabidi umpe tu.
thank u musa.well said husninyo I give you my thank.
usanii na wizi mtupu. Nipende nikupende au sio!DuuuhhhhhhUpendo wa upande mmoja + full usanii
that's correct Husninyo you are great thinkerusanii na wizi mtupu. Nipende nikupende au sio!
Kabisa HusHuyu alitakiwa apigwe mawe au alambeRumande mmmhhhusanii na wizi mtupu. Nipende nikupende au sio!
we! Hastahili hivyo na kumbuka waliopigwa mawe kama wa kina Stefano walikuwa right so, Husninyo is right. Think again!Kabisa HusHuyu alitakiwa apigwe mawe au alambeRumande mmmhhh
Umechukulia vibaya sio mawe yakuokotwa.. bali mawe yakuachwa .. Hus anaeleewa Pole kama nimekukwaza..we! Hastahili hivyo na kumbuka waliopigwa mawe kama wa kina Stefano walikuwa right so, Husninyo is right. Think again!