Ushauri wa bure: CHADEMA fukuza Ben Saanane, Mabere Marando, Shibuda na Prof. Baregu

Status
Not open for further replies.
Naomba nimzungumzie Ben namfahamu zaidi. Ni mtu hatari kupita maelezo. Kwanza muulizeni anafanya kazi gani? Halafu siku nzima anashinda mitandaoni mtaje hata saa nane usiku atajibu. Pia ana connection sana na uongozi wa jf sijui kwa nini. Chadema sijui kwanini hawalioni. Alitumika sana kum frustrate zzk lakini kwa njia nyingine na yeye ndie amejenga makundi ya kugawa chama kwa kupeleka umbea pande zote.
Hofu yako ya uchaguzi ndiyo inakutuma uje uandike haya?Mbona hujisemi wewe ambaye baba yako yupo CCM bado.Subiri siku ya uchaguzi utanifahamu vizuri
 
kama watu wanaumwa hivi muwapeleke milembe sio wanaanzisha thread za upuuzi, eti kila mtu msaliti, kwenda ukooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom