Ushauri wa biashra nzuri ya kufanya Dar es Salaam

Naona watu wameingiza story zao binafsi mpaka uzi umepoteza lengo lake. Shusheni idea za michongo basi angalao na sisi daiwakaz tukiliotea dili tuwe tayari na idea kichwani
 
Uza mazaga ya kitimoto. Tafuta "kilabu" ya pombe za kienyeji, omba uweke hapo goli lako, maeneo mengi hapa dar unalipa buku kwa siku.
Ukichukua karai, sahani, kuni, benchi 1, dumu mbili za maji, na hela ya kuchukulia mzigo (20k au 30k)
Uza buku kwa kipande, unakaanga hapo hapo.
Ukiweza pika na ugali uwauzie jero jero.
Safi hii
 
Nenda masoko makubwa yenye population ya watu weng mfno ilala,bugurun ,sterio,mabibo nk tafuta sehem mbel ya duka la mtu umlipe per day kaanga mihogo mixa kachumbal ya pili pili nzur ,kuwa msafi pia andika na kibao wek namb ya simu unafanya deliver kwa eneo ndan ya soko ,zingatia hili usaf .
 
Back
Top Bottom