Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki?

Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi!

Njooni mnielimishe!!
 
Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki?

Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi!

Njooni mnielimishe!!
Hebu tuanze kwanza kujua SACCOS MAANA YAKE NINI HALAFU BAADA YA HAPO NDIO TUJUE FAIDA NA HASARA ZA SACCOS NA BENKI YAWEZEKANA KILA MTU NDIO ATAJUA UPANDE UPI UTAMFAA YEYE KWANI KIZURI KWAKO NA UPANDE MWINGINE NI KIBAYA KWA MWENZAKO NA KINYUME CHAKE KIKAWA HIVYO
 
Tunaomba tusaidiane hapo!Kuna familia moja ya rafiki yangu nimekuta kikao ambapo kulikuwa na mjadala mkali!Mama yao kastaafu na alikuwa kwenye Saccos moja akaomba kujitoa kwa sababu amejenga makazi yake mkoa wa 5 toka hapo alipostaafu.Wamemhesabia pesa zake pamoja na magawio yake wamempa!Familia imemshauri kuwa pesa yake hiyo asiiweke benki Bali aende pale anapohamia kuna Saccos afungue akaunti ya Saccos ndiyo maana Ninaomba ushauri kwani Mimi sijui kitu
 
Back
Top Bottom