Ushauri: Nataka nibadili rangi ya gari

Sasa kama alikuwa na gari nyingine hii ya nini? Nyie ndo mnatuongezea msongamano mjini.[/QUOTE said:
Ndugu yangu, gari ikishaanza kuchoka si unanunua nyingine??? Hata wajapan wangeng'ang'ania gari moja mpaka itakapooza, sisi middle class tungenunua magari???
 
Point taken mkuu!!

Si unajua najitahidi kum handle ki gentleman asishikwe na tamaa!! Wakuu tatizo nimeoa mwanamke mrembo sana na anayedeka basi inabidi kila kitu tujadiliane ili nisimkwaze mama mtoto wangu!!
\

Mkuu Brroklyn,

Nikwambie kitu, kila mtu ameoa kwa wale tuliooa mrembo kwa vipimo vyake sasa please usiliangalie hilo kwa mtazamo huo kwa sababu utakufa kwa presha tu..utakuwa unawaza kumridhisha wakati kumbe yeye anaweza kukugeuza buzi,

Pili, kukwazana kupo tu kila siku, ni jisni ya kuhandle hayo makwazo...nyie sio malaika.Ndio maana nashindwa kuelewa kwa nini anang'ang'ania kubadili gari orijino ya gari wakati kwa gari aina hiyo rangi nyeupe ndo mwake kama walivosema wengine

Tatu, kama upo mbali naye mkuu jaribu kuangalia sana, kumpa kila kitu sio suluhisho kuwa hatakusaliti!
 
.......pwenti tupu hapo! Brooklyn .....mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie mzee!
 
Kaka hakuna rangi nzuri kwa maana ya maitenance katika gari kama rangi nyeupe. Haijachanganywa na rangi nyingine, madini mengi kama hizi tunazoziita metallic na pia huakisi mwanga na joto.
 
Brooklyn

Wazo la kusema ubadilishe rangi ya gari siyo zuri, yaani gari jipya uanze kubadili rangi litachakaa mapema..
Pia kama mkeo ni muelewa angetakiwa kushukuru hata kwa hilo gari ulilomnunulia ilhali hajaipenda hiyo rangi vinginevyo mwambie awe mvumilivu uliuze hilo gari na kwa vile ni jipya unaweza pata mteja mapema halafu mnunulie analolipenda yeye.. Tena uende nae akachague mwenyewe hilo gari atakalo baada ya kuliuza hilo Mark II-white in colour!..
Unaweza kumridhisha mtu lakini kama hathamini juhudi zako na kushukuru kwa kila umfanyialo ni kazi bure!..
 
Kaka hakuna rangi nzuri kwa maana ya maitenance katika gari kama rangi nyeupe. Haijachanganywa na rangi nyingine, madini mengi kama hizi tunazoziita metallic na pia huakisi mwanga na joto.

Noted mkuu!

Namsubiri afike nimfungulie hii thread, nafikiri atanielewa sasa!!
 
Nashukuru wana JF kwa ushauri wenu!

Hatimaye muafaka umepatikana, na wife karidhia kwa moyo mkunjufu kutumia gari kama ilivyo!!

Thanks & good day!
 
Itanichukua kiasi gani cha pesa nikitaka kulipia TRA ili niweze kubadili rangi ya gari langu?
 
Nashukuru wana JF kwa ushauri wenu!

Hatimaye muafaka umepatikana, na wife karidhia kwa moyo mkunjufu kutumia gari kama ilivyo!!

Thanks & good day!

Mkuu wanawake wakisema ndio , maana yake hapana. Fanya mipango uuze Gari. Na akiuza na analotumia Uwe na Salio kubwa then aseme yeye anataka Gari gani Kadiri ya bajeti yenu. Hapo ile hoja yako ya mkeo mrembo sana na unataka kumridhisha kwa Sasa asiwe na tamaa itakuwa umepata kitulizo cha muda. Tamaa Ni Ndani yake. Ngumu sana mwenye tamaa kutulizwa maana msukumo unakuwa mkubwa. Kama hujaona tamaa pamoja na Uzuri Wake just trust her. Ni muhimu kwa afya yako Pia.
 
"tatizo nimeoa mwanamke mrembo sana na anayedeka basi inabidi kila kitu tujadiliane ili nisimkwaze mama mtoto wangu!!"

BWANA ASIFIWE...

Hongera kupata JIKO.

Ogopa kumkwaza, pia endekea kuwa mvumilivu akikukwaza.

Tupia PICHA na namba yake ya simu nikujumuishe kwenye maombi.

AMEEEN...?
 
Habari wana JF!

Nina changamoto ina nikabili hapa, nimeona niilete kwenu kwa ajiri ya ushauri. Nimenunua gari aina ya Toyota Mark II GX110 nyeupe, kwa bahati mbaya shemeji yenu (ambaye ndiye niliye mnunulia) hajaipenda rangi hiyo. Yeye anapendelea rangi ya dark blue ama light blue. Kwa sababu bado sijaifanyia registration, amesisitiza niipeleke kwa wachina wakaibadili rangi.

Binafsi I dont support the move, nimejitahidi kumshawishi aitumie kama ilivyo naona hanielewi. Hofu yangu mimi ni kwamba nahisi rangi original inayokuja na gari inadumu na kuwa ang'avu kwa muda mrefu bila kupauka kuliko hizi za kubadilisha.

Je hofu yangu ni sahihi? Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na hili.....ili nimwelimishe mrembo wangu!!!
Utaitoaje hapo bandari bila registration?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom