Ushauri: Milioni 5 ni kiwango ambacho hunisumbua kukivuka, Nifanyeje ili nivuke hii hatua?

Kwa nnachokiona kwako uko vizuri sana kwenye biashara unayofanya, sasa kama una Experience nzuri na hiyo biashara yako ni bora uelekeze nguvu zaidi huko mpaka utakapopata pesa nyingi zaidi ndo uwaze kufanya diversification. Ukianza kutoa hela kwenye hiyo biashara kuanzisha kitu kingine maana yake mzunguko wa hiyo utapungua, focus ya hiyo itapungua, na hiyo mpya ili iendelee kusurvive itataka backup, na backup yenyewe ndo hauna focus nayo tena sana kama mwanzo, itakufa na utarudi kule kule mwanzo. Think beyond on how you can create new source of revenue from the same business you are doing.
 
Mchanganuo wa gharama na faida ukoje mfano Mtaji wa kuanzia ni kiasi gani?

Ukiwa na Milioni 1.5 utapata faida kiasi gani?

Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio
 
Nawaza mimi ninaeishi chini ya dola 1 nikikushauri utanielewa,au ntaishia kidharaulika tu.
Umasikini mbaya vikao vya familia sisi ndio wakaribisha wageni.
Mwanaume hutakiwi kutiatia huruma kiasi hiki, pambana, zamia hata wap huko ukazisake, jiulize swali upo hapa duniani kufanya nn
 
Nilikuwa nakutana na hali kama yako. Njia mojawap nyepesi, tafuta supplier wakubwa wanakuuzia bidhaa,na unaowaamini, lipia bidhaa in advance ,chukua risiti zako zitunze kwenye email.

Automatically mzunguko wa bishara utakuwa hapo umekuwa na akiba imekua. Ukihitaji cash, unakusanya mauzo kwa muda bila kuagiza bidhaa mpya.

By the way, unatoka kuziona milioni 5 cash kwa akaunti ili iweje? Ndio mwanzo wa kwenda kuwekeza Kalynda au kwa wale walima Vanilla wa mchongo.
Mimi Nina biashara ya vinywaji vya jumla na hivi ndivyo NAVYOFANYA.

#YNWA
 
Kwa mzunguko wa wastani je mtaji wa milioni 5 kweny miamala ,unaweza kupata faida kiasi gani per month?
Inategemea na mzunguko wako.
Mimi ni wakala wa mitandao mi4 ya simu + CRDB + NMB + NBC
huwa napata commission isiyopungua laki 3 kwa mwezi kwa huduma zotee.

Tatizo mtaa wangu tupo wengi (wa4)
Na nilifungua biashara hii Kwa kuuza bidhaa na sio UWAKALA.

Kwahiyo UWAKALA ni Wazo lililokuja baadae sanaa

#YNWA
 
Kwa nnachokiona kwako uko vizuri sana kwenye biashara unayofanya, sasa kama una Experience nzuri na hiyo biashara yako ni bora uelekeze nguvu zaidi huko mpaka utakapopata pesa nyingi zaidi ndo uwaze kufanya diversification. Ukianza kutoa hela kwenye hiyo biashara kuanzisha kitu kingine maana yake mzunguko wa hiyo utapungua, focus ya hiyo itapungua, na hiyo mpya ili iendelee kusurvive itataka backup, na backup yenyewe ndo hauna focus nayo tena sana kama mwanzo, itakufa na utarudi kule kule mwanzo. Think beyond on how you can create new source of revenue from the same business you are doing.
I wish ningewai ona ushauri Kama huu na nikauzingatia yasingenikuta,nilianzisha ofisi nyingine ,garama za uendeshaji zkaongezeka,wafanyakazi wakawa pasua kichwa, nikawa simudu kujigawa kusamia ofisi zote kwa ukaribu ,kilichotokea ;haha almanusura ofidi zote zife ,nilibakia na ofisi mama tu Tena ikiwa imechoka atar ,ili nilijifunza iki ulichoandika hapa practically
 
Pole mkuu, kuendesha biashara mpaka iwe successful kuna prices za kuPay ambapo mojawapo ni hasara and from there hutarudia tena kosa.
 
Mchanganuo wa gharama na faida ukoje mfano Mtaji wa kuanzia ni kiasi gani?

Ukiwa na Milioni 1.5 utapata faida kiasi gani?

Mkuu Tafuta Eneo karibu na sokoo la vyakula , Fungua duka la vifungashio
Kama vifungashio vipi na vipi?
 
Chini ya dola moja unazungumzia chini ya buku mbili (2000) ya kitanzania. Inamaana unaishi kwa kula mihogo ya kukaanga vipande vya mia mia na mia mbili mia mbili kama nguruwe?! 🤔🤔🤔
Katika kujitafuta haijalishi utakula nn ilimradi siku iende tu bro
 
Back
Top Bottom