Ushauri kwa TANESCO: LUKU rusha!

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Kutokana na umuhimu wa tanesco kwa taifa hili, nawashauri wafuate mfumo wa makampuni ya simu kwa kuanzisha huduma ya kuongeza salio la luku kwa kurusha kwani itapunguza kero kwa wateja wenu kutokana na luku zenu kuwa vimeo, mf nina siku tatu niko gizani kutokana na key pad ya luku ku-jam, pia naomba mwenye kujua suluhu ya tatizo hili anisaidie wadau.
 
woooi mi nilinunua umeme kwa m pesa 4000 ijumaa na jumapili wa 1000 mpaka sasa haujaja na muamala wangu umesepa nimekoma kabisaaaa
 
Hawa jamaa wananikera hata mimi maana mita yangu inakula kwasiku unit 7 halafu cna hata friji hata worker naombeni msaada wenu wadau hata kama kuichakachua.
 
woooi mi nilinunua umeme kwa m pesa 4000 ijumaa na jumapili wa 1000 mpaka sasa haujaja na muamala wangu umesepa nimekoma kabisaaaa

Du! pole maana tanesco na luku zao ni janga vilevile au wanataka mpaka tugome!
 
aisee natangaza rasmi kuacha kutumia m pesa jana tena usiku wameniliza elfu mbili zangu
nikipiga customer care hawapokei wala simu haiendi
 
Wewe unataka ugonvi na mawakala wa TANESCO, uliza wale watu wa maxmalipo wanakula asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom